Sipendi bold

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Habari ya usubuh wahishimiwa,
Hizi post zinazokuwa zimepigwa bold mwili mzima wakati ni habari ndefu mimi binafsi sizipendelei kabisa! naona kama mwandishi anakuwa analazimisha watu kuiona post yake!
ni sawa na kuandika barua kwa herufi kubwa, itaonekana kama unaongea kwa kelele vile!
sijui wenzangu, ila mimi ndiyo naona hivyo.
Natanguliza samahani zangu. lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom