Sioni Faida ya kuwa na mke. Naona nimejiongezea gharama tu zisizo na msingi

Achana na huyo mwanamke hana faida kabisa mchukue housegirl maana anajituma mzalishe na yeye akianza kuwa kama mkeo mwache uchukue mwanamke mwingine. ...............................
Sio kila maamuzi unafannya kwa kutumia huko chini. Mkeo akianza kumfikiria houseboy ambaye anamdekeza,anampa muda wake,anampa vizawadin.k how will it be? Hivi wanaume wa Hivi bado wapo? Kazi kwelikweli. ....
Anamadhaifu ongea nae huenda kazi zinambana sana that's it.Utajitafutia matatizo makubwa ndani ya ndoa yako
 
But angalau unatiana sana au unajua kutiana.si ndiyo?hilo ndo la msingi sana

Leo walau nimeona kwanini sikuingia kwenye ndoa, kwenye mahusiano yangu yooteee niliyokiwa nayo ningali mschana nilikuwa nawaambia ukweli mwanzo kabisa wanaponitongoza....

Wa kwanza nilimwambia mie ni bikra Ila ukiitoa na tukaja kuoana ujue mapemaa hujaoa jembe, mie mvivu hatariii nafanya kazi nikijiskia....
Waliofuata wote nilikuwa nawaambia mie sio bikira na nimeachana na x (nawataja wote waliopita) namalizia na hiyo ya ukinioa ujue mapemaa hujaoa jembe, niko mvivu hatarii kazi zote nazijua Ila nafanya nikijiskia kuanzia sasa hivi kwenye mahusiano hadi huko tuendako....

Sikupenda kumdanganya mtu au kumhadaa halafu aje anianzishie uzi kama hivi, akuuu.

Kigakula sinia bachela.
 
Kama house boy anamvalisha,anampa pesa ya mafuta, anamlisha n.k mi nashauri amfikirie tu. Mwanamke ambaye hata kujituma kihasa hasa kwenye tendo la ndoa hawezi huu ni too much uvivu.

Achana na huyo mwanamke hana faida kabisa mchukue housegirl maana anajituma mzalishe na yeye akianza kuwa kama mkeo mwache uchukue mwanamke mwingine. ...............................
Sio kila maamuzi unafannya kwa kutumia huko chini. Mkeo akianza kumfikiria houseboy ambaye anamdekeza,anampa muda wake,anampa vizawadin.k how will it be? Hivi wanaume wa Hivi bado wapo? Kazi kwelikweli. ....
Anamadhaifu ongea nae huenda kazi zinambana sana that's it.Utajitafutia matatizo makubwa ndani ya ndoa yako
 
Leo walau nimeona kwanini sikuingia kwenye ndoa, kwenye mahusiano yangu yooteee niliyokiwa nayo ningali mschana nilikuwa nawaambia ukweli mwanzo kabisa wanaponitongoza....

Wa kwanza nilimwambia mie ni bikra Ila ukiitoa na tukaja kuoana ujue mapemaa hujaoa jembe, mie mvivu hatariii nafanya kazi nikijiskia....
Waliofuata wote nilikuwa nawaambia mie sio bikira na nimeachana na x (nawataja wote waliopita) namalizia na hiyo ya ukinioa ujue mapemaa hujaoa jembe, niko mvivu hatarii kazi zote nazijua Ila nafanya nikijiskia kuanzia sasa hivi kwenye mahusiano hadi huko tuendako....

Sikupenda kumdanganya mtu au kumhadaa halafu aje anianzishie uzi kama hivi, akuuu.

Kigakula sinia bachela.
Umekosea utakuwa kigavula senia machela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmetafakari sana jambo hili na kujiuliza why nikae na mke?
1. Anapiga house girl
2. Nguo amafua gouse girl
3. Usafi house girl
4. Watoto analea house girl
5. Chakula naandaliwa na housegirl
6. Mke anatumia jina lake mwenyewe
7. Unyumba ananipa kwa ratiba
8. Vyakula anaenda nunua housegirl
9. Bajeti anapanga house girl
10.................

Sasa kwa nini niwe na mke? Kama watoto nshapata watatu. Kama ni papuchi naweza lipia nikawa napata napohitaji as long nina pesa.
Onana na viongozi wako wa dini. Wanaweza kukusaidia vizuri zaidi
 
Back
Top Bottom