Sioni Faida ya kuwa na mke. Naona nimejiongezea gharama tu zisizo na msingi

Vipi Mkuu House girl umeshampandisha cheo kuwa mother house!?

Nmetafakari sana jambo hili na kujiuliza why nikae na mke?

1. Chakula anapika house girl
2. Nguo anafua gouse girl
3. Usafi house girl
4. Watoto analea house girl
5. Chakula naandaliwa na housegirl
6. Mke anatumia jina lake mwenyewe
7. Unyumba ananipa kwa ratiba
8. Vyakula anaenda nunua housegirl
9. Bajeti anapanga house girl
10. Tunakoelekea hata pupuchi hilo jukumu atapewa kunipa house girl.

Sasa kwa nini niwe na mke? Kama watoto nshapata watatu. Kama ni papuchi naweza lipia nikawa napata napohitaji as long nina pesa.
 
Leo walau nimeona kwanini sikuingia kwenye ndoa, kwenye mahusiano yangu yooteee niliyokiwa nayo ningali mschana nilikuwa nawaambia ukweli mwanzo kabisa wanaponitongoza....

Wa kwanza nilimwambia mie ni bikra Ila ukiitoa na tukaja kuoana ujue mapemaa hujaoa jembe, mie mvivu hatariii nafanya kazi nikijiskia....
Waliofuata wote nilikuwa nawaambia mie sio bikira na nimeachana na x (nawataja wote waliopita) namalizia na hiyo ya ukinioa ujue mapemaa hujaoa jembe, niko mvivu hatarii kazi zote nazijua Ila nafanya nikijiskia kuanzia sasa hivi kwenye mahusiano hadi huko tuendako....

Sikupenda kumdanganya mtu au kumhadaa halafu aje anianzishie uzi kama hivi, akuuu.

Kigakula sinia bachela.
Ndio hata kwenye kazi iliyoleta ndoa "unyumba"kupeana kwa ratiba🙄 nikwambie ukweli wanaume tunapenda utelezi hayo mambo mengine yatavumilika lakini sio kunyima utelezi bila sababu za msingi
 
Kwahiyo kwa kifupi kabisa ni kwamba mimi ulinidanganya au nisubirie muda ukifika utaniambia?

Kwanini lakini?

Nimwachie Mungu?

Wewe tena...

Mungu atalemewa na mizigo yako ya chupa za K Vant😅.
 
Back
Top Bottom