Siongozi Genge la wasaka URAIS - Mbowe

Mbowe anaongoza genge la wachaga kama Lema,Nassar,Henry kilewo,Deo mushi,mukya,munishi etc ndo maana watu kutoka pande zingine za tz hawakutokea!Zitto hawezi fanya movement for chaga hata siku moja.
 
Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.

umenena vyema mkuu, ni wachache wanao uona huu ukweli.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Freemaan Mbowe amesema kamwe haongozi kundi au genge la wasaka vyeo na madaraka ndani ya chama chake bali anaongoza kundi la watu wanaopenda mabadiliko.

Kiongozi huyo amesema binafsi hawezi kwa sasa kusema atagombea Urais au Ubunge kwa sababu huu si muda wake hata kidogo.

Mbowe amesema mwanachama yeyote makini wa CDM kwa sasa ni muda wa kuwaunganisha wanachama na watanzania kwa ujumla na wala si muda wa kuwagawa kukimbilia madaraka.Kiongozi huyo amesema ndiyo maana makamanda wote wakiongozwa na Dr Slaa wamejichimbia vijijini kwa kazi moja tu ya kueneza vuguvugu la mabadiliko-M4C

Source: Tanzania Daima

source gazeti la mbowe kwi kwi kwi ujasiliamali wa kisiasa.
 
Mbowe anaongoza genge la wachaga kama Lema,Nassar,Henry kilewo,Deo mushi,mukya,munishi etc ndo maana watu kutoka pande zingine za tz hawakutokea!Zitto hawezi fanya movement for chaga hata siku moja.
Du jamaa yangu Shibuda simsikii, lakini haya yalimtokea Mrema maana mpaka wale wa kishimundu wapiga brush na mafundi saa nao walikuwa majukwaani.
Ni kweli Msiba leo Machinga wote kutoka kaskazini wanamoto nan M4C sasa sijui hawa wa Kigoma Shinyanga, Lindi, Ifakara hakuna kweli hao wapiga brush? Zitto hilo kaligundua zamani
 
Zitto kwa kuwa amejipanga kugombea urais 2015, usitegemee kumuona kwenye harambee za kuchangisha milion 257 ambapo zote ni ahadi isipokuwa milioni 20. Au kuzunguka kwenye mikutano isiyo na tija. Rais ZZK.
Labda kwa ticket ya chama cha mabwepande au urais wa TFF au wa jumuiya ya watu wanaotoka Kigoma
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Freemaan Mbowe amesema kamwe haongozi kundi au genge la wasaka vyeo na madaraka ndani ya chama chake bali anaongoza kundi la watu wanaopenda mabadiliko.

Kiongozi huyo amesema binafsi hawezi kwa sasa kusema atagombea Urais au Ubunge kwa sababu huu si muda wake hata kidogo.

Mbowe amesema mwanachama yeyote makini wa CDM kwa sasa ni muda wa kuwaunganisha wanachama na watanzania kwa ujumla na wala si muda wa kuwagawa kukimbilia madaraka.Kiongozi huyo amesema ndiyo maana makamanda wote wakiongozwa na Dr Slaa wamejichimbia vijijini kwa kazi moja tu ya kueneza vuguvugu la mabadiliko-M4C

Source: Tanzania Daima

Siku zote Kamanda Mbowe amekuwa makini sana na namna anavyoongoza chama .Kukubalika kwa CDM ni fikra mbadala na kusoma alama za nyakati ,kamanda Mbowe ameliweza hilo .
 
Mbowe anaongoza genge la wachaga kama Lema,Nassar,Henry kilewo,Deo mushi,mukya,munishi etc ndo maana watu kutoka pande zingine za tz hawakutokea!Zitto hawezi fanya movement for chaga hata siku moja.

Utahangaika sana lakini hutafanikiwa.M4C inasonga mbele kama moto wa kifuu.
 
Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.

CDM sio Zitto Kabwe
 
Zitto hata udiwani hawezi kushinda mwaka 2015, mwenye Not book na ayaandike maneno haya. tuombeane uhai kwa wale mtakaommis Bungeni.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
zzk KWISHA HABARI YAKE MAGAMBA WAMESHAMMALIZA HUYO HAMNA KAZI TENA HAPO ITAPIDI ATETEMEKEE TU MAGAMBA MAANA AKIGEUKA TU WATAMLIPUA HAIDI BASI...NA KUANZIA SERIKALI IJAYO ATAKUWA NI REFERENCE...KUWA KUNA MTU ALIKUWA JUU KAMA ZZK???/WANANCHI HAKUNA WANASIASA YUPO WAPI SASA?EHE HEHEHH EHHE
 
Tutajifunza kila siku, tutaelimishana kwa nguvu zote lakini mwishowe tutaelewa kwamba:-

1. CDM sio chama cha msim

2. CDM si chama cha watu wa kaskazin, anaebisha atembelee mikowa mbalimbali atapata majibu

3. CDM kwa sasa ni chama cha vijana, wazee, na watanzania wa iman zote na wasio na iman.

4. CDM kwa sasa hakuna ukabila anaebisha aende mbeya, mwanza arusha, singida nk atathibisha.

5. CDM hakuna udin, bali time will tell nakale kasingle alikotoa kikwete kaudin wakati wa uchaguzi cdm wasikacheze ni sum wawaachie ccm kukacheza

Yote hayo yanawezeka kwa sababu cdm inaongozwa vema na washauri bora kabisa kama vile prof Safari, dr slaa akiwemo mwenyekiti mbowe.
 
Zitto yuko bungeni mkuu mpaka bunge liishe ndio atajiunga na wenzake
kwa hiyo hata ziara ya mtwara alikuwa bungeni?wakati slaa na wenzake wanakula magimbi ifakara zitto anawaza kusafishiwa njia ,atatangaza sana ila hahika urais atausikia tu.
 
Mbowe anaongoza genge la wachaga kama Lema,Nassar,Henry kilewo,Deo mushi,mukya,munishi etc ndo maana watu kutoka pande zingine za tz hawakutokea!Zitto hawezi fanya movement for chaga hata siku moja.

Nassari naye leo kawa mchagga? Joyce Mukya naye kawa mchagga?
 
Mimi zzk ameshanikifu vya kutosha,wakati wa kampeni arumeru watu wote tumeelekeza nguvu huko yeye yupo dar anatangaza urais,nia ya zzk ni kuleta makundi chadema ila atashidwa
 
Back
Top Bottom