Siongozi Genge la wasaka URAIS - Mbowe

Mbowe anaongoza genge la wachaga kama Lema,Nassar,Henry kilewo,Deo mushi,mukya,munishi etc ndo maana watu kutoka pande zingine za tz hawakutokea!Zitto hawezi fanya movement for chaga hata siku moja.

kazi yako ni kumchonganisha zitto na cdm! Hivi utampa mkeo Genda awe first lady wake?
 
Jimboni kwake tu hali mbaya itakuwa kutawala nchi nzima? Huyu jamaa yako anafanya atishia kwenye "tragedy of miscalculations" na kusahaulika Tanzania ndani ya miaka miwili ijayo.Labda kama atapeperusha bendera kupitia LEKA TUTIGITE.

Vijana wote wenye mawazo huru wanamuunga mkono Zitto, ninyi mnaofaidika na udhalimu wa akina Mbowe, Slaa, na Josephine hamuwezi hata siku moja kumuunga mkono mkombozi wa haki.
 
Vijana wa LEKA TUTIGITE ndio wenye mawazo huru, sio wewe! Mawazo huru kuchukua rushwa Tanesco,NSSF,PPF,PSPF na kuitetea Dowans? Demokrasia ina mipaka yake na hakuna kitu kinachomponza Zitto kama kutetewa na watu kama wewe.Angalia sasa hata CCM wamemgeuka
 
Siasa za tumbo, ndio maana Zitto alipojua kuwa mtatumia majitaka aliwaface ninyi kwanza kama mnaweza ku prove hizo tuhuma zenu awaachie huo uenyekiti wa POAC na umakamu mwenyekiti wenu, wote mlifyata kuanzia Mbowe na kila mtu sasa hapa ndipo mnapoweza kuja kutoa shutuma bila kuzithibitisha.
 
tuntemeke id zako zote 16 zimeunganiswa na invisible au ameziachia zijitegemee, halafu nashangaa sana wewe unakula na kunya kwa pesa ya chadema na ni kiongozi wa chadema ila ukikaa nyuma ya keyboard unakioponda chama chako, kwa watu mbwa kama wewe na zitto ni heri ccm itawale milele.
wanajf,
katika kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 ccm walimtumia mwandishi wa habari wa chadema aliyekuwa anaambatana na mgombea wa urais kwa tiketi ya chadema,mbowe,ili kutoa taarifa za siri kuhusu mikakati ya chadema.taarifa hizi nilizipata kutoka kwa mtu muhimu sana katika kikosi cha kampeni za kikwete.
Simfahamu huyo mwandishi wa habari,lakini chadema waangalie ni nani alikuwa anaambatana na mbowe.kama bado wako naye,nawaomba wakae naye macho.
 
Vijana wote wenye mawazo huru wanamuunga mkono Zitto, ninyi mnaofaidika na udhalimu wa akina Mbowe, Slaa, na Josephine hamuwezi hata siku moja kumuunga mkono mkombozi wa haki.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-23.html#post4413384
 
Siasa za tumbo, ndio maana Zitto alipojua kuwa mtatumia majitaka aliwaface ninyi kwanza kama mnaweza ku prove hizo tuhuma zenu awaachie huo uenyekiti wa POAC na umakamu mwenyekiti wenu, wote mlifyata kuanzia Mbowe na kila mtu sasa hapa ndipo mnapoweza kuja kutoa shutuma bila kuzithibitisha.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-23.html#post4413384
 
Siasa za tumbo, ndio maana Zitto alipojua kuwa mtatumia majitaka aliwaface ninyi kwanza kama mnaweza ku prove hizo tuhuma zenu awaachie huo uenyekiti wa POAC na umakamu mwenyekiti wenu, wote mlifyata kuanzia Mbowe na kila mtu sasa hapa ndipo mnapoweza kuja kutoa shutuma bila kuzithibitisha.
Waliomtuhumu ni CCM, alituface sisi kama nani? Uchunguzi haujaisha na Kamati ya Ngwilizi haijatoa ripoti yake wewe unatafuta huruma hapa? Ni suala la muda tu kabla ya mambo yote kuwa hadharani. Atuachie Uenyekiti wa POAC si amrudishie Mkwe wake JK aliyeshirikiana na Pinda kuwashawishi CCM wampe yeye? Kuna Chadema mwingine ambaye ni M/kiti wa oversight committee? Ndio ujue jamaa yako ni CCM na CCM wenzio ndio waliompa Uenyekiti, usitufanye wajinga. Mkajipange upyaa
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-23.html#post4413384

Wewe hizo polls zenu zimewasaidia nini? Sio hizi zilikuwa zimempa ushindi wa zaidi ya asilimia 80% Slaa mbele ya JK?
 
Zitto sijui kapagawa na mapepo gani huyu kijana, mbona zamani hakuwa ndumilakuwili? Huyu jamaa nilikuwa namkubali sana ila alikuja kuniacha hoi that time anamtetea Jk! Pia hata kwenye nyaraka zake mbalimbali huwa anaandika hivi.
Zitto kabwe- Kigoma kaskazn
badala ya
Zitto kabwe-CHADEMA.
 
Wewe hizo polls zenu zimewasaidia nini? Sio hizi zilikuwa zimempa ushindi wa zaidi ya asilimia 80% Slaa mbele ya JK?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-23.html#post4413384
 
Waliomtuhumu ni CCM, alituface sisi kama nani? Uchunguzi haujaisha na Kamati ya Ngwilizi haijatoa ripoti yake wewe unatafuta huruma hapa? Ni suala la muda tu kabla ya mambo yote kuwa hadharani. Atuachie Uenyekiti wa POAC si amrudishie Mkwe wake JK aliyeshirikiana na Pinda kuwashawishi CCM wampe yeye? Kuna Chadema mwingine ambaye ni M/kiti wa oversight committee? Ndio ujue jamaa yako ni CCM na CCM wenzio ndio waliompa Uenyekiti, usitufanye wajinga. Mkajipange upyaa

Ahsante mkuu kwa bandiko lako lililoenda shule.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.

kweli.
 
Waliomtuhumu ni CCM, alituface sisi kama nani? Uchunguzi haujaisha na Kamati ya Ngwilizi haijatoa ripoti yake wewe unatafuta huruma hapa? Ni suala la muda tu kabla ya mambo yote kuwa hadharani. Atuachie Uenyekiti wa POAC si amrudishie Mkwe wake JK aliyeshirikiana na Pinda kuwashawishi CCM wampe yeye? Kuna Chadema mwingine ambaye ni M/kiti wa oversight committee? Ndio ujue jamaa yako ni CCM na CCM wenzio ndio waliompa Uenyekiti, usitufanye wajinga. Mkajipange upyaa

Japo sikubaliani na madai yako ila atleast you have manage to put together valid points. Kwa wana CCM kushabikia tiketi ya Zitto ni jambo la kutilia shaka. Ila mimi si miongoni mwa wana CCM, nachofanya kwa Zitto ni kuwa upande unaonewa. Popote itakapotokea muoneaji na muonewaji mimi nitakuwa upande wa muonewaji.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
It us unwise Wewe kuingilia kauli za wanaume rijali wenye Akili timamu!

Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.
 
Japo sikubaliani na madai yako ila atleast you have managed to put together valid points. Kwa wana CCM kushabikia tiketi ya Zitto ni jambo la kutilia shaka. Ila mimi si miongoni mwa wana CCM, nachofanya kwa Zitto ni kuwa upande unaonewa. Popote itakapotokea muoneaji na muonewaji mimi nitakuwa upande wa muonewaji.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-23.html#post4413384
 
Vijana wa LEKA TUTIGITE ndio wenye mawazo huru, sio wewe! Mawazo huru kuchukua rushwa Tanesco,NSSF,PPF,PSPF na kuitetea Dowans? Demokrasia ina mipaka yake na hakuna kitu kinachomponza Zitto kama kutetewa na watu kama wewe.Angalia sasa hata CCM wamemgeuka

Wasanii wote wa leka dutigite walipigia kampeni ccm mwaka 2010 na leo mlezi wao ni zitto. hii ina maana gani? zitto analea wapigia kampeni wa ccm!. Hii haiingii akilini. Mia
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Back
Top Bottom