Siongozi Genge la wasaka URAIS - Mbowe

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Freemaan Mbowe amesema kamwe haongozi kundi au genge la wasaka vyeo na madaraka ndani ya chama chake bali anaongoza kundi la watu wanaopenda mabadiliko.

Kiongozi huyo amesema binafsi hawezi kwa sasa kusema atagombea Urais au Ubunge kwa sababu huu si muda wake hata kidogo.

Mbowe amesema mwanachama yeyote makini wa CDM kwa sasa ni muda wa kuwaunganisha wanachama na watanzania kwa ujumla na wala si muda wa kuwagawa kukimbilia madaraka.Kiongozi huyo amesema ndiyo maana makamanda wote wakiongozwa na Dr Slaa wamejichimbia vijijini kwa kazi moja tu ya kueneza vuguvugu la mabadiliko-M4C

Source: Tanzania Daima
 
Mkuu Molemo Zitto kajichimbia kigoma anajitangazia kugombea Urais nini? Mbona simuoni kwenye M4C?

Zitto kwa kuwa amejipanga kugombea urais 2015, usitegemee kumuona kwenye harambee za kuchangisha milion 257 ambapo zote ni ahadi isipokuwa milioni 20. Au kuzunguka kwenye mikutano isiyo na tija. Rais ZZK.
 
Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.
 
Zitto 2015

Hivi kwa akili yako ndogo unaamini kuwa propaganda zenu (CCM) zinzweza kuwasaidia kupata kibaraka ndani ya CDM? Ni ndoto za mchana.
Ata vile mgejua mnamhitaji Zuberi (mimi sipendi kumuita Zitto) awe mbadala wa CCM 2015 basi msinge mtega rushwa ya mgao wa billion 2 kila mwezi
toka kampuni za Mafuta.....

Ninavyoamini ata Ubunge atakosa kwa kuwa kibaraka.
 
Zitto kwa kuwa amejipanga kugombea urais 2015, usitegemee kumuona kwenye harambee za kuchangisha milion 257 ambapo zote ni ahadi isipokuwa milioni 20. Au kuzunguka kwenye mikutano isiyo na tija. Rais ZZK.

mkuu hiyo avatar yako imekaa kisengerema sengerema,no wonder hayo majibu yako yapo kama mkulima wa mpunga!!!!!!!!:ranger:
 
Zitto kwa kuwa amejipanga kugombea urais 2015, usitegemee kumuona kwenye harambee za kuchangisha milion 257 ambapo zote ni ahadi isipokuwa milioni 20. Au kuzunguka kwenye mikutano isiyo na tija. Rais ZZK.
Mkuu wewe naona umeshalewa wanzuki nenda kapumzike mpaka jioni ukavizie tambi na magimbi
 
Yaani leo watu wanatoka jasho huko vijijini wanahangaika kutafuta wanachama wakati zitto yeye ka hayuko marekani basi yuko kigoma.. Mi ni kijana kama yeye lakini bado am not convinced hes the right guy for 2015 maybe 2025
 
Hii nchi ni laini kama maini "Joshua Nassari"

Naunga mkono hoja mkuu Ritz.Nilichoshuhudia juzi pale Serena Hotel jinsi watu walivyohamasika kuchangia mamilioni nimeamini hii nchi ni laini kama maini.Watanganyika hakika wameamua kukomboa nchi yao.
 
Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.

Mkuu kawaambie waliokutuma kwa Mbowe ni STOP! Maelezo yako yanafanana na jina unalotumia.Pole.
 
Back
Top Bottom