Siongozi Genge la wasaka URAIS - Mbowe

Wasanii wote wa leka dutigite walipigia kampeni ccm mwaka 2010 na leo mlezi wao ni zitto. hii ina maana gani? zitto analea wapigia kampeni wa ccm!. Hii haiingii akilini. Mia

Mungu anazidi kuwafumbua macho watanzania...
 
Wasanii wote wa leka dutigite walipigia kampeni ccm mwaka 2010 na leo mlezi wao ni zitto. hii ina maana gani? zitto analea wapigia kampeni wa ccm!. Hii haiingii akilini. Mia

Kwa hiyo kila aliyeshiriki kampeni za CCM 2010 haturuhisiwi kushirikiana naye? Vipi Ole Milya?
 
Japo sikubaliani na madai yako ila atleast you have manage to put together valid points. Kwa wana CCM kushabikia tiketi ya Zitto ni jambo la kutilia shaka. Ila mimi si miongoni mwa wana CCM, nachofanya kwa Zitto ni kuwa upande unaonewa. Popote itakapotokea muoneaji na muonewaji mimi nitakuwa upande wa muonewaji.
Kwahiyo Zitto ni Mwislamu mwenzako, that's what is you're Priority!! Stupidy Man to the maximum.

user-online.png
Ecoli

Yesterday 15:14
#114
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 20th June 2011
Posts : 660
Rep Power : 512
Likes Received128
Likes Given50

[h=2]
icon1.png
Re: Siri ya mbowe yafichuka.[/h]
quote_icon.png
By tindikalikali
CHADEMA@inaingiaje hapo?

Watetezi wake ndio hao hao watukanaji wa uislam. Hapa amezungumziwa Mbowe lakini kinachodhihakiwa ni ibada ambayo ni nguzo ya uislamu.
 
Kwa hiyo kila aliyeshiriki kampeni za CCM 2010 haturuhisiwi kushirikiana naye? Vipi Ole Milya?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-23.html#post4413384
 
Kwahiyo Zitto ni Mwislamu mwenzako, that's what is you're Priority!!

Matola jaribu kufanya uchunguzi kidogo, sijataja uislamu wa Zitto popote and if it will help you sijawahi kumuona Zitto muislam kwa kuwa haishi maisha ya kiislamu.
 
Matola jaribu kufanya uchunguzi kidogo, sijataja uislamu wa Zitto popote and if it will help you sijawahi kumuona Zitto muislam kwa kuwa haishi maisha ya kiislamu.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-23.html#post4413384
 
Zitto yuko bungeni mkuu mpaka bunge liishe ndio atajiunga na wenzake

Hahahaa molemo kijana mnafiki sana wewe,hizi busara umeanza lini,?unafiki bwana!vipi mmeshagawana zile ml 257 ?msimsahau na urio wa kibororoni
 
Hapana mkuu, ndugu yetu Lema atazitumia kwenda kufungua matawi ya CDM Ulaya na China.
 
Hapana mkuu, ndugu yetu Lema atazitumia kwenda kufungua matawi ya CDM Ulaya na China.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-23.html#post4413384
 
Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.
Bora uonekane mbaya mwanzo kuliko kusubiri mpaka tayari umechelewa - Iwe hii mipasho analengwa ZZK, iwe kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chadema, ni bora kuwekana sawa hivi sasa. Kama viongozi wakuu wa CDM hawatalizuwia hili, hata hawa wanaohama vyama vyengine na kujiunga na CDM wataanza kuutaka uraisi hivi sasa.
HONGERA MBOWE KWA BUSARA
 
Mbowe/Dr Slaa the most admirable leaders in the country
 
Back
Top Bottom