SIOI adhihirisha Ukomavu wa kisiasa na demokrasia kwa CCM, Aahidi kumsaidia Nasari kuleta maendeleo

JacksonMichael

JF-Expert Member
Mar 22, 2012
339
61
Ndugu wadau,

Ukweli kuwa CCM ndio chama kikomavu na cha kidemokrasia umedhihirika baaba ya kushindwa ARUMERU.

Mgombea wa ccm ameahidi kutoa ushirikiano na amempongeza nasary kwa ushindi mdogo alioupata, pia ameelezea atatumia taaluma yake ya sheria katika kuwaletea maendeleo wana arumeru.

Ingekuwa CDM wameshindwa unafikili tungesikia matamko kama haya? huu yet ni ushahidi mwingine wa uwezo mkubwa wa CCM, nakiri laiti isingekuwa mipangilio mibovu ya CCM "Washindwe tuheshimiane" na kuchagua "mbumbumbu" kusimamia kampeni matokeo yasingekuwa yale.

Taarifa kamili na NIPASHE:
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Sioi Sumari, amesema atapima upepo wa kisiasa ulivyo kabla ya kuamua kugombea tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

Sioi alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa na NIPASHE kama atagombea tena ubunge katika jimbo hilo, baada ya kushindwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Nassari, katika uchaguzi uliofanyika Jumapili iliyopita.

Uchaguzi huo ulifanyika kujaza nafasi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, marehemu Jeremiah Sumari, aliyefariki dunia mapema mwaka huu.

Alipoulizwa kama ana mpango wa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ubunge kwa mara nyingine katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, alisema bado hajafikiria suala hilo na kwamba wakati ukifika ataangalia upepo ulivyo kwanza.

Kuhusu hatma yake kisiasa baada ya kushindwa, Sioi alisema fani yake ni sheria na ni wakili wa Mahakama Kuu na siyo mwanasiasa, hivyo ataendelea na kazi yake ya uanasheria.

Wakati huo huo, Sioi ameahidi kutoa ushirikiano kwa mbunge mteule wa jimbo hilo, Joshua Nassari, kwa lengo la kuharakisha kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hilo.

Sioi alisema amekubaliana na matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ambayo yamempa ushindi mgombea wa Chadema na kwamba atahakikisha anashirikiana naye katika kuhakikisha wananchi wa Arumeru wanapata maendeleo.

“Nimeyapokea vizuri kwa moyo wote matokeo, maana asiyekubali kushindwa si mshindani, nataka kuamini kuwa wana-Arumeru ndio waliofanya uamuzi na kamwe siwezi kuwa na pingamizi lolote katika uchaguzi huo,” alisema Sioi.

Aliongeza kuwa pamoja na kwamba kulikuwa na mapungufu ya hapa na pale wakati wa uchaguzi huo, lakini hawezi kuchukua hatua ya kukataa matokeo hayo kwani wananchi wa Arumeru wametumia demokrasia yao kumchagua mtu wanayemuona atawaletea maendeleo.

Ni hayo tu
Shina la wakereketwa wa CCM
Nje ya nchi
 
Naona umerudi baada ya kukimbia na kuruka kimanga A. Mashariki, hakuna cha Demokrasia wala nini kipigo kilikuwa kitakatifu, hoja kwamba nyie ni wakomavu wa siasa hakuna kitu.

Mbinu zenu zote za wizi zildhibitiwa toka angani mpaka ardhini so hamkuwa na ujanja, na mind you CDM si watani wenu!!
 
Hafanyi hayo kwa ajiri ya CCM. Na CCM haina ushawishi huo kwa Sioi. Isipokuwa Sioi anafanya hivyo kwa ajiri yake na watoto zake...hope na kwa ajiri ya mkewe
 
Ndugu wadau,

Ukweli kuwa CCM ndio chama kikomavu na cha kidemokrasia umedhihirika baaba ya kushindwa ARUMERU.

Mgombea wa ccm ameahidi kutoa ushirikiano na amempongeza nasary kwa ushindi mdogo alioupata, pia ameelezea atatumia taaluma yake ya sheria katika kuwaletea maendeleo wana arumeru.

Ingekuwa CDM wameshindwa unafikili tungesikia matamko kama haya? huu yet ni ushahidi mwingine wa uwezo mkubwa wa CCM, nakiri laiti isingekuwa mipangilio mibovu ya CCM "Washindwe tuheshimiane" na kuchagua "mbumbumbu" kusimamia kampeni matokeo yasingekuwa yale.

Taarifa kamili na NIPASHE:
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Sioi Sumari, amesema atapima upepo wa kisiasa ulivyo kabla ya kuamua kugombea tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

Sioi alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa na NIPASHE kama atagombea tena ubunge katika jimbo hilo, baada ya kushindwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Nassari, katika uchaguzi uliofanyika Jumapili iliyopita.

Uchaguzi huo ulifanyika kujaza nafasi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, marehemu Jeremiah Sumari, aliyefariki dunia mapema mwaka huu.

Alipoulizwa kama ana mpango wa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge kwa mara nyingine katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, alisema bado hajafikiria suala hilo na kwamba wakati ukifika ataangalia upepo ulivyo kwanza.

Kuhusu hatma yake kisiasa baada ya kushindwa, Sioi alisema fani yake ni sheria na ni wakili wa Mahakama Kuu na siyo mwanasiasa, hivyo ataendelea na kazi yake ya uanasheria.

Wakati huo huo, Sioi ameahidi kutoa ushirikiano kwa mbunge mteule wa jimbo hilo, Joshua Nassari, kwa lengo la kuharakisha kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hilo.

Sioi alisema amekubaliana na matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ambayo yamempa ushindi mgombea wa Chadema na kwamba atahakikisha anashirikiana naye katika kuhakikisha wananchi wa Arumeru wanapata maendeleo.

"Nimeyapokea vizuri kwa moyo wote matokeo, maana asiyekubali kushindwa si mshindani, nataka kuamini kuwa wana-Arumeru ndio waliofanya uamuzi na kamwe siwezi kuwa na pingamizi lolote katika uchaguzi huo," alisema Sioi.

Aliongeza kuwa pamoja na kwamba kulikuwa na mapungufu ya hapa na pale wakati wa uchaguzi huo, lakini hawezi kuchukua hatua ya kukataa matokeo hayo kwani wananchi wa Arumeru wametumia demokrasia yao kumchagua mtu wanayemuona atawaletea maendeleo.

Ni hayo tu
Shina la wakereketwa wa CCM
Nje ya nchi

Kenge , mbuzi, kondoo mkubwa wewe. Unahitaji ukombozi wa fikra. Kama unalipwa na magamba kuandika upuuzi wako humu imekula kwako!
 
Unaonekana una akili ya maiti!
Hivi huyo sioi si anaishi mbezi dar!
 
Ndugu wadau,

Ukweli kuwa CCM ndio chama kikomavu na cha kidemokrasia umedhihirika baaba ya kushindwa ARUMERU.

Mgombea wa ccm ameahidi kutoa ushirikiano na amempongeza nasary kwa ushindi mdogo alioupata, pia ameelezea atatumia taaluma yake ya sheria katika kuwaletea maendeleo wana arumeru.

Ingekuwa CDM wameshindwa unafikili tungesikia matamko kama haya? huu yet ni ushahidi mwingine wa uwezo mkubwa wa CCM, nakiri laiti isingekuwa mipangilio mibovu ya CCM "Washindwe tuheshimiane" na kuchagua "mbumbumbu" kusimamia kampeni matokeo yasingekuwa yale.

Taarifa kamili na NIPASHE:
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Sioi Sumari, amesema atapima upepo wa kisiasa ulivyo kabla ya kuamua kugombea tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

Sioi alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa na NIPASHE kama atagombea tena ubunge katika jimbo hilo, baada ya kushindwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Nassari, katika uchaguzi uliofanyika Jumapili iliyopita.

Uchaguzi huo ulifanyika kujaza nafasi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, marehemu Jeremiah Sumari, aliyefariki dunia mapema mwaka huu.

Alipoulizwa kama ana mpango wa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ubunge kwa mara nyingine katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, alisema bado hajafikiria suala hilo na kwamba wakati ukifika ataangalia upepo ulivyo kwanza.

Kuhusu hatma yake kisiasa baada ya kushindwa, Sioi alisema fani yake ni sheria na ni wakili wa Mahakama Kuu na siyo mwanasiasa, hivyo ataendelea na kazi yake ya uanasheria.

Wakati huo huo, Sioi ameahidi kutoa ushirikiano kwa mbunge mteule wa jimbo hilo, Joshua Nassari, kwa lengo la kuharakisha kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hilo.

Sioi alisema amekubaliana na matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ambayo yamempa ushindi mgombea wa Chadema na kwamba atahakikisha anashirikiana naye katika kuhakikisha wananchi wa Arumeru wanapata maendeleo.

“Nimeyapokea vizuri kwa moyo wote matokeo, maana asiyekubali kushindwa si mshindani, nataka kuamini kuwa wana-Arumeru ndio waliofanya uamuzi na kamwe siwezi kuwa na pingamizi lolote katika uchaguzi huo,” alisema Sioi.

Aliongeza kuwa pamoja na kwamba kulikuwa na mapungufu ya hapa na pale wakati wa uchaguzi huo, lakini hawezi kuchukua hatua ya kukataa matokeo hayo kwani wananchi wa Arumeru wametumia demokrasia yao kumchagua mtu wanayemuona atawaletea maendeleo.

Ni hayo tu
Shina la wakereketwa wa CCM
Nje ya nchi

badili jina, kwa uandishi na utetezi wa jinsi hii, tukikufahamu kama wewe ni lusinde au shehe nkapa tutafaidi mjadal.
 
Kimba la kijani wewe!mbona hakusaini matokeo?mumeanza upya kampeni za 2015 na mkwe wenu mamvi?kweli mi-mavi imewabana!oh
 
Mbona Lusinde, mpiga debe wake aliomba sioi apigiwe kura ili alee familia ya babake? Huo uwezo ataupata wapi? Aache unafiki wake.
 
Mwambie ahamie CHADEMA, ccm hawamtaki
Haya mambo ya kuchukua waliotemwa ndio yanayoviharibu vyama makini kama CDM. Naamini CDM wanajuta kuona katika kumbukumbu zao kuwa Lusinde alipitia CDM. Lusinde ni aibu hata kwa familia yake, sikwambii kwa chama, hasa CDM.

Lazima kuwe na mchujo mkali, ikibidi mkataba na wanaorukaruka kutoka chama kimoja hadi chengine.
 
Ndugu wadau,

Ukweli kuwa CCM ndio chama kikomavu na cha kidemokrasia umedhihirika baaba ya kushindwa ARUMERU.

Mgombea wa ccm ameahidi kutoa ushirikiano na amempongeza nasary kwa ushindi mdogo alioupata, pia ameelezea atatumia taaluma yake ya sheria katika kuwaletea maendeleo wana arumeru.

Ingekuwa CDM wameshindwa unafikili tungesikia matamko kama haya? huu yet ni ushahidi mwingine wa uwezo mkubwa wa CCM, nakiri laiti isingekuwa mipangilio mibovu ya CCM "Washindwe tuheshimiane" na kuchagua "mbumbumbu" kusimamia kampeni matokeo yasingekuwa yale.

Taarifa kamili na NIPASHE:
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Sioi Sumari, amesema atapima upepo wa kisiasa ulivyo kabla ya kuamua kugombea tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

Sioi alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa na NIPASHE kama atagombea tena ubunge katika jimbo hilo, baada ya kushindwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Nassari, katika uchaguzi uliofanyika Jumapili iliyopita.

Uchaguzi huo ulifanyika kujaza nafasi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, marehemu Jeremiah Sumari, aliyefariki dunia mapema mwaka huu.

Alipoulizwa kama ana mpango wa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge kwa mara nyingine katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, alisema bado hajafikiria suala hilo na kwamba wakati ukifika ataangalia upepo ulivyo kwanza.

Kuhusu hatma yake kisiasa baada ya kushindwa, Sioi alisema fani yake ni sheria na ni wakili wa Mahakama Kuu na siyo mwanasiasa, hivyo ataendelea na kazi yake ya uanasheria.

Wakati huo huo, Sioi ameahidi kutoa ushirikiano kwa mbunge mteule wa jimbo hilo, Joshua Nassari, kwa lengo la kuharakisha kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hilo.

Sioi alisema amekubaliana na matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ambayo yamempa ushindi mgombea wa Chadema na kwamba atahakikisha anashirikiana naye katika kuhakikisha wananchi wa Arumeru wanapata maendeleo.

"Nimeyapokea vizuri kwa moyo wote matokeo, maana asiyekubali kushindwa si mshindani, nataka kuamini kuwa wana-Arumeru ndio waliofanya uamuzi na kamwe siwezi kuwa na pingamizi lolote katika uchaguzi huo," alisema Sioi.

Aliongeza kuwa pamoja na kwamba kulikuwa na mapungufu ya hapa na pale wakati wa uchaguzi huo, lakini hawezi kuchukua hatua ya kukataa matokeo hayo kwani wananchi wa Arumeru wametumia demokrasia yao kumchagua mtu wanayemuona atawaletea maendeleo.

Ni hayo tu
Shina la wakereketwa wa CCM
Nje ya nchi

Issue ni CCM kukomaa katika siasa au Demokrasia inakuwa nchini mwetu?
 
Unafiki tu, kama alikubali matokeo kwa nin hakusain form ya kukubaliana na matokeo.
 
Mbona hakutumia hiyo taaluma ya sheria wakati jimbo lilipokuwa chini ya baba yake?
 
Huo ndio ukomavu wa kisiasa wa kweli.

Hiyo ndiyo CCM.

Wangekuwa ni magwanda wameshindwa wangesusa kila kitu na kuanza kuitisha maandamano.

Hatuitaji utani na nyinyi tena mkome kutuita watani wenu waiteni CUF kwetu hapana mnataka mtuzoee ili mtu ibie. Katu hatuta cheka na nyinyi Nyani
 
Back
Top Bottom