SIOI adhihirisha Ukomavu wa kisiasa na demokrasia kwa CCM, Aahidi kumsaidia Nasari kuleta maendeleo

Mwambieni Sioi arudi STANBIC BANK akaendelee kuwatetea waendelee kuikopesha serikali ilipe watumishi mishahara ili apate 10% yake
 
kwanza siyoi kashukuru sana kushindwa ubunge. Pili huo ushirikiano ni wa mashaka tu, hana lolote huyo. Cdm wapotezeeni watu kama kina siyoi
 
Hakya Mungu magamba yanaanza kuwehuka! Sioi aonyesha ukomavu wa siasa!? hivi hizi takataka zinatokea wapi? Kwa siasa zipi huyu bwa mdogo alizowahi kushiriki? kanza advataiz magamba yenyewe hayamkubali. Ashirikiane na Nasari kama nani? anauspecial gani kuwazidi wana arumeru mashariki, ye aendelee kula bata wake aache mambo ya kiswahili. Kwanza aachane na siasa, nyambaf
 
Nadhani sio ukomavu wa kisiasa bali ni ustaarabu wake kutokana na malezi na tabia yake ya kistaarabu

Maana tuna akina wasirra kama ni kukomaa wameshaota ndevu za shaba kwenye siasa but hawana utu
 
Hebu nipe huo ushahidi wa SIOI kutoa rushwa au kutuhumiwa kutoa rushwa labda sikuwa aware na hizo taarifa!

Kiongozi kama umesoma vizuri thread yangu, sijasema kuwa Sioi alitoa rushwa. Ila nimeandika kuwa baadhi ya watu waliokuwa ktk kundi lake, walisadikika kutoa rushwa kwa wanachama na wana-ccm ili apite kura za maoni. Sasa kwangu mimi ukomavu wa Kisiasa ni kule kukataa kuhusishwa na kundi baya ambalo nina dhani Sioi alilisikia au hata kufahamu hilo. Kwa ushaidi wa rushwa, mtafute au mwone katibu mwenezi wa Chama husika. Nina uhakika atakupa ushirikiano mzuri.
 
Nilipogundua kuwa LUSINDE alihamia CCM toka CDM nkajua kwa nini alizungumza yale aliyoyasema, maama si kawaida ya CCM kuropoka ni kawaida ya vyama vya upinzani.

Umerogwa na magamba wewe hujui ulitendalo kaa kimya,watu wenye uelewa mdogo wa kufikiri kama wewe ni hatar kwa taifa letu.Unafaa kufungwa jiwe shingoni na kutupwa baharini!,nan kasema wapinzan wanatabia hyo kama cyo nyie magamba na tabia zenu chafu?
 
Ok, sasa ndio muda wa kufuatilia mirathi halali si kurithi nyumba, kuku, hadi ubunge, aah! Kashfa ingetuandama arumeru. Harafu kumbe wewe ni wakili bwana, sasa mbona mwanadamu wa kale anasema huna ajira , na marehemu dingi kakuachia darasa la kata
 
Back
Top Bottom