Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 831
Kumbe niliiandika??? was just thinking loudly...:becky:
hahahaha nimekusoma:becky:
Kumbe niliiandika??? was just thinking loudly...:becky:
kweli kabisa kibongo bongo ni ngumu sana tena sanaaaaaaaaa halafu hizi ndoa zetu mara umefumwa na msg ya nyumba ndogo mara mmechuniana mara mmegombana ndio baadae mtu uje kumfumgulia mlango wa gari halafu na wake zetu hawa utakuta mnataka kwenda safari pamoja anajiandaa saa nzima wewe unasubiri tu matokeo yake mnachelewa unakasirika hata kukumbuka kumwambia kapendeza au kufungua mlango wa gari unasahauSikiliza wewe mtoto.....kama huwa unafunguliwa mlango wa gari, kupigiwa simu etc etc kuna mambo mawili......either wewe ni kimada wa huyo jamaa au ndoa yenu ni changa sana....yaani ndo umeolewa na huyo mshikaji......! vinginevyo kwa bongo hii ni nadra sana kupata huduma hizo hapo juu.....!
kweli kabisa kibongo bongo ni ngumu sana tena sanaaaaaaaaa halafu hizi ndoa zetu mara umefumwa na msg ya nyumba ndogo mara mmechuniana mara mmegombana ndio baadae mtu uje kumfumgulia mlango wa gari halafu na wake zetu hawa utakuta mnataka kwenda safari pamoja anajiandaa saa nzima wewe unasubiri tu matokeo yake mnachelewa unakasirika hata kukumbuka kumwambia kapendeza au kufungua mlango wa gari unasahau
mie kuna siku nilimfungulia mlango wa gari tulikuwa tunatoka kwenye sherehe ya ofisini ili niwachekeshe staff wenzangu nakumbuka siku ile wife alisema "leo jua litatoka usiku"
wizi mtupuHivi kwa nini kumfungulia mke wako mlango wa gari? Hii ndio njia yetu ya kuonyesha mapenzi?? :kiss: Au ndo kwa hisani ya watu wa marekani??
kweli kabisa kibongo bongo ni ngumu sana tena sanaaaaaaaaa halafu hizi ndoa zetu mara umefumwa na msg ya nyumba ndogo mara mmechuniana mara mmegombana ndio baadae mtu uje kumfumgulia mlango wa gari halafu na wake zetu hawa utakuta mnataka kwenda safari pamoja anajiandaa saa nzima wewe unasubiri tu matokeo yake mnachelewa unakasirika hata kukumbuka kumwambia kapendeza au kufungua mlango wa gari unasahau
mie kuna siku nilimfungulia mlango wa gari tulikuwa tunatoka kwenye sherehe ya ofisini ili niwachekeshe staff wenzangu nakumbuka siku ile wife alisema "leo jua litatoka usiku"
Hivi kwa nini kumfungulia mke wako mlango wa gari? Hii ndio njia yetu ya kuonyesha mapenzi?? :kiss: Au ndo kwa hisani ya watu wa marekani??
U made my day bra ha ha ha ha
Anamshika mkono au kumbatia wakiwa wawili tu chumbani wamefunga mlango na taa imezimwaaaaa....
wizi mtupu
Sikiliza wewe mtoto.....kama huwa unafunguliwa mlango wa gari, kupigiwa simu etc etc kuna mambo mawili......either wewe ni kimada wa huyo jamaa au ndoa yenu ni changa sana....yaani ndo umeolewa na huyo mshikaji......! vinginevyo kwa bongo hii ni nadra sana kupata huduma hizo hapo juu.....!
Wengine wanafika mbali kabisa wanaona soo hata kuongozana.
1. Kumfungulia mwanamke garia apandapo au kushuka na kumfunga mkanda kabla ya gari
kuondoka
2. Kumshika mkono kwenye hadhara wakati wa kutembea e.g evening walk au kwenye
ocassion kubwa inatokeaga siku ya harusi tu.
3. Kumsifia pale panopostahili e.g nguo imekupendeza kweli....u look excellent on those
clothes. U had wonderful presentation I rly like it.....
4. Kumpigia simu muda wa mchana kumtakia mlo mwema na kujua siku yake inakwendaje.
Au kumwachia ki-note asubuhi kwenye fridge au nyuma ya mlango chenye ujumbe wa
mapenzi e.g u luk so peaceful, beautiful and at peace when u sleep
5. Kumpa au kumnunulia maua katika vipindi tofauti
mie alikuwa amshanizosha hiyo ya kunifungulia mlango, lakini inapotokea tupo na mama yake utaona hafanyi hiko kitendo, kuna cku tupo na mama yake, wanaagana mie nipo upande wa pili nasubiri kuja kufunguliwa kama kawaida nashangaa mtu ameshawasha gari naulizwa mbona huingii?..nika note tukiwa na mama hawezi nifanyia hivyo anajua mwenyewe sababu, nilimpiga marufuku kuanzia hiyo cku alivyoniacha naduwaa tu.
Hahahaha anaogopa watu wakijua kesho atashindwa kumega binti mwingine utambania ridhiki...