Sio tu tusichanganye Dini na Siasa, bali pia tusitumie maneno ya Mungu kwa hoja za kisiasa, shuhudia maajabu ya neno "MENE MENE TEKELI NA PERESI'!

Wanabodi,
Katika uendeshaji wa siasa zetu, tumewahi kuaswa mara nyingi tuu kuwa tusichanganye dini na siasa.

Sisi Wakristo tumefundishwa na Bwana Wetu Yesu Kristo kuwa " Mpeni Mungu Yaliyo ya Kimungu na Mpeni Kaisari Yaliyo ya Kaisari"

Lengo ni kueleza kuwa sisi binadamu tuko kwenye tawala mbili tofauti, au falme mbili tofauti. Falme hizo ni falme za mbingu na falme za duniani. Falme za mbingu ndio ufalme wa Mungu na falme za duniani ni utawala wa Kaisari.

Tumche Mungu na kutii amri zake ikiwemo kufanya yale ya Kimungu ili tuweze kuurithi ufalme wa Mungu, ikiwemo kutimiza wajibu wetu kwa Mungu wetu kwa mujibu wa mafundisho ya dini zetu.

Lakini wakati huo huo tuna wajibu wa kutii mamlaka zote halali za Kaisari kwasababu mamlaka zote huwekwa na Mungu, hata Hitler aliwekwa na Mungu, hata Iddi Amini aliwekwa na Mungu, ni Mungu ndiye ameweka serikali za mataifa hivyo wananchi wote tuna wajibu wa kutii mamlaka za kiserekali kwa kufuata sheria bila shuruti, hata tuwe hatuzipendi vipi mamlaka hizo au hatuwapendi vipi viongozi wake, maadam tumefundishwa kumpa Mungu yaliyo ya Kimungu na kumpa Kaisari yaliyo ya Kaisari, ukienda kinyume, ni kutenda dhambi kwa Mungu.

Mfano hoja ya sadaka, usipomtolea Mungu fungu la kumi ni dhambi, utaadhibiwa kwa kutokufanikiwa. Vivyo hivyo serikali za mataifa zinatoza kodi, usipolipa kodi sio tuu unaikosea mamlaka ya Kaisari, bali pia ni dhambi kwa Mungu kwa kutomiza wajibu wako wa kumpa Kaisari yaliyo ya Kaisari. Hivyo wajemeni tufuate sheria bila shuruti.

Katika kutokuchanganya dini na siasa, mimi nimefanya utafiti wangu mdogo tuu humu jf kuhusu matumizi ya maneno ya Mungu kutoka kwenye vitabu vitakatifu vya dini.

Utafiti wangu, umetumia sampling ya matumizi ya maneno ya Biblia Takatifu Kitabu cha Wafalme. Neno " MENE MENE TEKELI NA PERESI".

Nimefuatilia threads kadhaa zilizotumia neno hilo kisiasa humu jf, nikakutana na an amazing coincidence ya ajabu kuhusu threads hizo,

Kabla sijaisema coincidence hiyo ni nini, naomba nikupe na wewe kaji homework kadogo tuu, zichungulie threads hizi, sio lazima usome contents bali kwa kuzifungua tuu na kuziangalia, can you notice what they have in common?. How can it be?. Is just a coincidence or it is amazing coincidence?.

[/URL]

Kufuata coincidence hiyo, nime reach conclusion kuwa sio tuu hatupaswi kuchanganya dini na siasa, bali pia hatupaswi kutumia maneno ya Mungu, kuwianisha na hoja za kisiasa.

Jumapili Njema
Paskali
Bariadi, Simiyu (near Gambosh)
Lazima ufuate maelekezo uliyopewa pale utakapo ona chukizo la uharibifu litakapo kanyaga patakatifu pa pakatifu.
 
Pole sana ndugu yetu.
Najua ulishajua kiuatacho maana wajua nini watu walitabiri na nauwakioa ulikiona kikija.
Mzee wa KARMA.
Sasa ni kweli Mungu ni mwenye wivu, hataki kufananshwa wala kushushwa.
 
Kwani enzi za hizo tawala za misri, uwajemi nk si zilikuwa za kisiasa? Je hawa viongozi wetu si wanaapa kwa Maandiko matakatifu? Maandiko yanaposema tutii mamlaka kwakuwa mamlaka zote zimetoka kwa Mungu hapo uoni kuwa mamla hizo ni za kisiasa?
 
Back
Top Bottom