Sio haki vyuo vikuu kuzuiwa kushiriki siasa

Bwa'mdg maliza 1 then next! Unataka chai, chakula cha mchana na ucku at the same tym! Sio utaratibu! Itifaki siyo! Maliza kitabu siasa utaikuta tu! Haina pakwenda.
 
Kama mnajua kwamba siasa ni haki yenu je mmefanya nini mpaka leo? Inaonekana mnaongozwa na iron boys.
 
tatizo la siasa mavyuoni ni pale zinapokuwa zinafanywa na wetu wenye matatizo na uelewa wa mambo,mob thinking ndo chanzo cha siasa kufutwa mfn utakuta pale mlimani wanagoma then wanatoa ultimatum kuwa rais aje chuoni ndani ya masaa 36,sasa si utoto huo,siasa zimekuwa pia zikitumika vibaya na vyama vya siasa hii ni kuanzia ccm na cdm,wanafunzi wanawekeza nguvu kwenye siasa kutafuta umaarufu baada ya kumaliza chuo,hii si sawa na hakuna uhuru usio na mipaka,mi nimemaliza udsm mwaka huu,kwa kweli siasa za vyuoni ni utoto mtupu,na sehemu kubwa waathirika wamekuwa ni watoto wa maskini kwani kila mgomo ukitokea na chuo kikafungwa,wanaoshindwa kurudi asilimia mia ni watoto wa maskini,wale ring leaders wanaendelea na shule kwa sababu ya backup ya siasa za vyama vya cdm na ccm.nashauri wanafunzi wafanya analysisi ya kutosha kabla ya kukoma na kuangalia realism ya madai na shida zao.sio kila madai yao yanaweza kutatuliwa,mengine ni this how we are,and we should accept how we are,failure to that familia za watoto maskini hazitapata kile wanachotaka kukipata vyuoni.
 
kama mnaweza kuwa influenced hata na mtu kama Lema bora mkatazwe. uelewa wenu ni mdogo kuliko mlipokuwa primary school.
 
Sema tu kwa sababu ndo umejiunga leo kwenye jukwaa nakusamehe na ninakukaribisha karibu sana. Ila siku nyingine unapaswa kujenga hoja ya kile unachokiamini na siyo kukiacha hewani kinaelea, na hapa ndipo wanajf hupata fursa ya kukupika mpaka uive, hapa sio mahali salama kama facebook kule kwa watoto hata kwa hiki ulicho-post tegemea lolote maana umeshindwa kukitetea kwa kujenga hoja. AMAUTI
 
Huyu mtoa mada ana hoja ila hajaipangilia.

Nijuavyo mimi; Siasa ni fani (career) sio taaluma (profession). Ili uwe mwanasiasa mzuri na kiongozi bora lazima uwe na msingi mzuri wa elimu na tabia. Elimu ni moja ya nguzo kuu za msingi huo. Kwa hiyo katika upana wa mada husika, mtu anaweza kusema sio sahihi kuwazuia kujifunza siasa, lakini ni busara kuwaelekeza kutokuwa (ku-practice) wanasiasa muda huu. Ili kwanza msome, mhitimu na kisha mwende kutekeleza kwa ufanisi mlojifunza.
 
Mkuu hili ulilonena NENO! umekidhi mbele ya wakati
 
Ni ufinyu wa fikra na ukandamizaji wa demokrasia. wanafunzi wa chuo ni 18+ ambao wamequalify umri wa kupiga kura sasa wasipokuwa na ushiriki itakuwaje???
 
Back
Top Bottom