Mkuu, Dar yote imechafuka mbona!
Dar nimezunguka,pale palace kiboko jamani,asilimia 95% ni wasichana tena wanaojiuza,pale aibu ukiingia tu unapokelewa na machangu.niliingia kusikiliza live music nilitoka nduki after 10min! Duh mle ndani balaa tupu!
Kwa style hi Taifa litapona? Inabidi tumwombe Mungu sana ainusuri Tz
Nasikia kichefuchefu napita tu ndugu zangu
Wabongo dawa yetu ziara za kushtukiza, hujaona ya CT scan?Hii biashara imeshindikana kuzuiwa?
Me nashangaa sijui TRA wako wapi?
Naona umeamua kufukua kaburiDaaah!!! niondoka Tz kitambo sana, hivi hizi Hoteli bado zipo? Concorde na Palace? maana miaka ya mwanzoni mwa 2000 zilikuwa ndio miongoni mwa mbuga kuu za Dar
Wanalipwa vizuri na wageni toka nje ya nchi.Kwa wanaodhani wale wadada (plus plus) wamejikita sinza tu basi watembelee mtaa wa sikukuu kariakoo hasa pale palace hotel ni wnegi kama nzige sijui kwa nini uongozi wa hotel hauchukui hatua yeyote maana wana tabia ya kuwaganda wageni kama luba.
Pia mara nyingi hutwangana makonde wao kwa wao. Utashangaa kuna hata wasiojua kiswahili kabisa wakitokea congo au burundi . Gharama ni kati ya 5000 hadi 30,000 depending on bargaining power of the buyer.
Wanalipwa vizuri na wageni toka nje ya nchi.
Wanapokea dollars.
Kivipi?Mkuu Ms.Lincoln na wewe ni shabiki pale?