Sinza cha mtoto! Mnaijua palace hotel ya Kariakoo?

haruuuuuuuuuuuuuuuuuu
tutaponaaaaaaaaaaaaaaaaa
wateja waooooooooooooo
akina naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
vipi mjengoniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kwa wanaodhani wale wadada (plus plus) wamejikita sinza tu basi watembelee mtaa wa sikukuu kariakoo hasa pale palace hotel ni wnegi kama nzige sijui kwa nini uongozi wa hotel hauchukui hatua yeyote maana wana tabia ya kuwaganda wageni kama luba.

Pia mara nyingi hutwangana makonde wao kwa wao. Utashangaa kuna hata wasiojua kiswahili kabisa wakitokea congo au burundi . Gharama ni kati ya 5000 hadi 30,000 depending on bargaining power of the buyer.

mkuu nimefutah umeeuliza juukwanini uongozi auwachukulii hatua ukajijibu mwenyewe wana garamaza A-Z
Babu kubwaaaaaaaaaa
 
"Risk is direct proportional to the Return", "no gain without pain".....au "majuto ni mjukuu"!!!! "Toa pesa zaidi ruksa bila kondom"!!!!!

Ni kweli 'inalipa', kama mtu analipwa 30k kwa mara moja na anaweza kwenda na wanaume watatu kwa usiku mmoja, ni kipato cha 90k per night. Kwa mwezi, say anafanya 'kazi' siku nne kwa wiki anaweza kukusanya mpaka 1.440m....hii ni zaidi ya take home ya asst lecturer wa public university!
 
conner bar shekilango ni kero tupu hadi kunakucha.hivi hakuna utaratibu wa kuzuia hili jambo? Mila na desturi zetu sivyo.sasa wanasambaa hadi meeda bar.ni hatari kwa vizazi vijavyo.
 
Back
Top Bottom