Sintosahau hii #shuleni# wewe je????

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Well pindi niko o'level katika shule iitwayo Peace secondary huko Bukoba nilikutwa na bonge la mkasa..
Kwenye mida ya saa kumi na dakika kumi hv nilitoka darasani {vipindi vilikuwa vinaisha saa 10 na dakika 20.
So nikaelekea kujisaidia katika boys' toilets ila nikakuta pako full na vyoo vingne vichafu kweli {kulikuwa na vyoo kama 7 hv}
so nikakata shauri la kwenda upande wa demu kujisaidia.. {palikuwa mbali kidogo na vyoo vya wavulana}
nilifanikiwa kufika
na kuingia kwenye toilet mojawapo na kutulia ili nifanye mambo yangu kwa amani {palikuwa pasafi angalau}..
Ila nilichosahau ni kwamba siku hyo ilikuwa ni siku ya usafi hivyo saa 10 na dakika 20 ilinikuta nikiwa bado niko toilet, so kengele ilivyogongwa wakaja mademu kufanya usafi kwenye vyoo {suspension ilikuwa inanukia} na wakawa wanalazimisha kufungua mlango huko wakiuliza "kuna mtu?" na mimi kimya huku nikitetemeka.. Nikasikia mtu akisema "lazima humu kuna mtu, nimetoka kukitmia hiki choo asubuhi"
ebwana eeh, starehe yote mle chooni ikaisha, kijoto kikinipiga...
Wakafanya usafi kwingne na mle wakapaacha, wakasema wanaenda kumuita metroni wasaidiane kuufungua mlango {kuuvunja}..
Nashkuru Mungu nilibahatika kupona kwani walipotezea na wakasepa zao..
Kuanzia siku hiyo nikakoma ku-ingia pasipo nihusu..
 
Hii imekaa kaa kitoto toto!
 
Vipi hapo shuleni kwenu hakukuwa na chaka, wenzio shule yetu ilikuwa karibu na chaka, ukiona mazinguzi unazama zako chaka unayamaliza bila wasiwasi
 
Miaka yetu tunasoma Mbeya sec. Kama kulikuwa na noma tuliingia chimbo Mangurueni had mishe zote ziishe.

Near by Tunduma Mbeya.
 
Vipi hapo shuleni kwenu hakukuwa na chaka, wenzio shule yetu ilikuwa karibu na chaka, ukiona mazinguzi unazama zako chaka unayamaliza bila wasiwasi
lilikuepo mkuu ila nilidhani solution ni kwenda kwa mademu
 
Kwa waliosoma Old Moshi sec kulikuwa na zile toilet zilizoitwa mapambano, huko ulikuwa unaingia tu na bukta ili kukwepa nguo zicpate harufu ya choo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom