Singida Fountain Gate Yang'oa Beki Kisiki wa Jwaneng Galaxy. Alikuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ligi kuu ya Botswana

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Timu ya Singida Fountain Gate imefanikiwa kunasa usajili wa beki wa pembeni matata kutoka timu ya Jwaneng Galaxy ya Botswana inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kijana huyo ambae alikuwa anawaniwa na vigogo wa Afrika kuanzia Orlando Pirates Hadi Esperence alikataa kuongeza mkataba na Galaxy na ku damp offer kutoka klabu hizo kubwa za Afrika na kusema anapendelea Kucheza Ligi ya Tanzania akiwa na jezi ya wababe wa Singida aka Wazee wa Trab & trat.

My Take: Hongera Kijana Benson Mangolo Kwa uchaguzi sahihi Ili upate namba na uoneshe kiwango chako kuliko ungeenda huko kwingine ukae benchi.Tanzania ni Ligi sahihi sana kwako.

=========

Benson of Botswana.jpg

Botswana’s reigning Footballer of the Season, Benson Kitso Mangolo, has snubbed PSL offers in favour of a daring switch to Tanzania’s top-flight league.

Mangolo, who became a thorn in the side of DStv Premiership giants Orlando Pirates as he led his team, Jwaneng Galaxy, to a historic CAF Champions League victory, is now set to grace the Tanzanian Premier League.

Despite attracting significant interest from several DStv Premiership clubs, including Sekhukhune United, Chippa United, and AmaZulu FC, as well as Tunisian giants Esperance, the Zebras’ vice-captain has chosen a different path.

With his contract at Jwaneng Galaxy expiring at the end of December, the left-back is a free agent. He has reportedly rejected a contract extension with the club. According to reliable sources, he is closing in on a move to Singida Fountain Gate.

The 24-year-old fullback has been a cornerstone of Jwaneng Galaxy’s success in recent years. His recent second-place ranking in the Africa Soccer Zone CAF Champions League player performance ranking is a testament to his talent. He was only behind teammate Goitseone Phoko, who scored 108 points compared to Mangolo’s 68.

WHAT SINGIDA FOUNTAIN GATE HAVE SAID ABOUT MANGOLO

The prospect of acquiring Mangolo has understandably generated excitement at Singida Fountain Gate. Chief executive officer Olebile Sikwane acknowledged the player’s exceptional talent and hinted at the club’s ambition to secure his services.

“Benson is a player any club in Africa would want to have,” Sikwane told FARPost. “He is undoubtedly one of the most exciting talents on the continent right now.”

While Sikwane expressed reservations about their ability to compete financially with larger clubs, he acknowledged the player’s appeal and the potential impact he could have on the team.

“Singida is a club with ambition,” Sikwane continued. “We’re competitive and aiming to do even better this season. We’re aiming for CAF competition and a place in the group stages. Benson is a player any African club would want, and I understand why his name has been linked to us.”

Although Sikwane’s official statement remained cautious, Mangolo is said to be enthusiastic about the potential move. His arrival would undoubtedly bolster Singida Fountain Gate’s defence and add a new dimension to their gameplay. His powerful presence, pacey movement, and knack for scoring goals would be valuable assets for the team.

This bold decision by Mangolo represents a fascinating turn of events in his career. It also marks a significant development for both the player and Singida Fountain Gate. As he prepares to embark on this new chapter in Tanzania, all eyes will be on his impact on the league.

farpost.co.za
 
Timu ya Singida Fountain Gate imefanikiwa kunasa usajili wa beki wa pembeni matata kutoka timu ya Jwaneng Galaxy ya Botswana inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.



farpost.co.za
Ulichoandika wewe sicho kilichoandikwa kwenye hiyo makala uliyoambatanisha. Huyo mchezaji bado hajasajiliwa na Fountain Gate.
 
Huyu mchezaji ni mzuri. Anapandisha sana mashambulizi. I wish Wananchi tungemuona mapema kabla ya hao SFG Fc. Maana anheingia mapema sana kwenye mfumo wa timu.
 
Huyu mchezaji ni mzuri. Anapandisha sana mashambulizi. I wish Wananchi tungemuona mapema kabla ya hao SFG Fc. Maana anheingia mapema sana kwenye mfumo wa timu.
Hao ni ndugu zenu wa damu atacheza msimu mmoja tu next kituo ni kwaa utopolo hivo usijari
 
Back
Top Bottom