Singida Fountain Gate yaachana na Hans Van Der Pluijm

Shakir

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
1,602
1,819
1693326782208.jpg
TAARIFA KWA UMMA

Kocha wetu Hans van der Pluijm hatutaendelea nae. Timu yetu itakuwa chini ya kocha Msaidizi Mathias Lule mpaka pale itakapoamuliwa vinginevyo.
---

PRESS RELEASE

RE; COACH HANS VAN DER PLUJM RESIGNATION

On behalf of the Board of Directors, management, sponsors, stakeholders and membership of SINGIDA Fountain Gate FC, I wish to announce the resignation of Head Coach Mr Hans Van de Pluijm.

Mr Hans has been with the club for some time now helping the team achieve big milestones. However, as per this announcement, Mr Hans has decided to resign on reasons attached to availing more time for his personal undertaking.

Mr Hans will forever be part of the club’s history having recorded a historic achievement for the club last season finishing in the TOP 4, and qualifying the club for the current CAF Confederations Competition in which recently he has helped the team to advance to the 2nd round in the competition.

We are profusely indebted to his service to the club, the commitment and professionalism with which he always carried himself throughout his many coaching spells with us.

In the meantime, the Assistant Coach Lule Mathias assumes the Caretaker Coach role until the club makes further announcements.

We thank Mr Hans and wish him well for the future.

Olebile Sikwane
Chief Executive Officer
 
Klabu ya Singida Fountain Gate imetangaza kuachana na Kocha Hans van DER Pluijm ambapo nafasi ya Kocha Mkuu imekabidhiwa kwa Msaidizi wake, Mathias Lule hadi hapo uongozi wa Klabu utakapofanya maamuzi tofauti.

Taarifa ya Singida imeeleza maamuzi hayo yamechukuliwa baada ya Pluijm kuamua kujiuzulu mwenyewe kutokana na sababu binafsi.

Singida ni moja ya timu iliyotumia kiasi kikubwa cha fedha Nchini kusajili wachezaji wenye uzoefu wa mashindano mbalimbali lakini imekuwa na matokeo ya kusuasua tangu kuelekea na hata baada ya kuanza kwa msimu wa 2023/24.
 
Mgunda msimu huu anavizia timu tu, na ninavyowajua makolo wanavyojua kumpangia kocha kikosi, robertino Hana maisha marefu
 
Back
Top Bottom