Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,684
- Humo hakuna hoja (maudhui) ya maana, ni kuhimiza kuinama na kuonyesha namna unavyochuma tembele na mchicha tu basi!

- Juzi kati hapa niliona video moja ya singeli na hatua ya muziki wao waliyoipiga imenistua.......madensa wa kiume wanatwerk, yaani wanainama na kutikisa makalio kama wafanyavyo kina dada.

- Yote tisa, kumi nilichokisikia jana; muimbaji anaimba Singeli yake kwa kutukana kabisa waziwazi tusi kubwa la kutaja kiungo cha wazazi wetu wa kike, ajabu watu walikuwa wanajimwaga tu na kuchekelea.

- Kwenye vigodoro vya kupatia mimba wanafunzi muziki ndio mtawala!
 
Huwa nashangaa sana wanaouita huu upuuzi ni Muziki. Huna quality ya kuitwa muki.
Haya ndio yale mangoma ya kienyeji ya kizaramo yaitwayo mdundiko ambao asilimia 99 ya maneno yake ni matusi ndio watu sasa hivi wanayarekodi studio na kuyabatiza ni muziki wa singeli.

Mbaya zaidi, sisi wote ni watanzania na ni waswahili, Tafsiri na tasfida ya maneno yaliyotumika yapo wazi kabisa na watoto wadogo wanayaimba mitaani na kufanya majaribio ya kile walichokisikia kwenye vyombo vya habari, ni kweli mamlaka zinazohusika huwa zinapitia fafsiri ya maneno yanayotumika kwenye huu utopolo uoitwao singeli ambao hata haujakaa ki melody bali limtu linajitamkia tuuu maneno kwa kufuata mdundo wa ngoma?
 
- humo hakuna hoja (maudhui) ya maana, ni kuhimiza kuinama na kuonyesha namna unavyochuma tembele na mchicha tu basi!

- juzi kati hapa niliona video moja ya singeli na hatua ya muziki wao waliyoipiga imenistua.......madensa wa kiume wanatwerk, yaani wanainama na kutikisa makalio kama wafanyavyo kina dada.

- yote tisa, kumi nilichokisikia jana; muimbaji anaimba singeli yake kwa kutukana kabisa wazi wazi tusi kubwa la kutaja kiungo cha wazazi wetu wa kike. Ajabu watu walikuwa wanajimwaga tu na kuchekelea.

- kwenye vigodoro vya kupatia mimba wanafunzi muziki ndo mtawala!
Wahuni...wahuuniiii, woteee mikononi juuuuuu....!!!

Hebu nionyeshe unavyochuma mchicha tembele ×2

Anainamaaa anainukaaa anainamaa anainukaaa×2
 
Huu ndiyo mziki wetu acheneni na amapiano tembeeni kwenye singeli hadi ifike hatua burna boy anaimba kwenye mdundo wa singeli kama alivyofanya remix ya yerusalem.

Nb: huo upuuzi wa madance wa kiume kutwerk singeli ni kweli aisee na ndiyo itaharibu huu mziki, watumie madansa wa kike hao jamaa wanachafua tu huo mziki
 
Huwa nashangaa sana wanaouita huu upuuzi ni Muziki. Huna quality ya kuitwa muki.
Haya ndio yale mangoma ya kienyeji ya kizaramo yaitwayo mdundiko ambao asilimia 99 ya maneno yake ni matusi ndio watu sasa hivi wanayarekodi studio na kuyabatiza ni muziki wa singeli.

Mbaya zaidi, sisi wote ni watanzania na ni waswahili, Tafsiri na tasfida ya maneno yaliyotumika yapo wazi kabisa na watoto wadogo wanayaimba mitaani na kufanya majaribio ya kile walichokisikia kwenye vyombo vya habari, ni kweli mamlaka zinazohusika huwa zinapitia fafsiri ya maneno yanayotumika kwenye huu utopolo uoitwao singeli ambao hata haujakaa ki melody bali limtu linajitamkia tuuu maneno kwa kufuata mdundo wa ngoma?
Cha msingi ili tusiipoteze hii ladha ya kipekee ya huu mziki ni hao wasanii husika kuachana na hizo negatives themes na kuboresha mziki uwe wa kistaarabu upotray positivity kwa kuacha hayo matusi na wanaume madansa kutwerk coz mdundo wenyewe unajibeba bila huu upuuzi.

Kuna dogo anaitwa kinata mc anaimba hadi kingereza kwenye singeli 😃 anajipambania hadi nimeona ametoa remix ya nyimbo yake ya singeli na msanii mkubwa wa Uganda anaitwa Azawi, yani inshort kuna waganda wanachezeshwa singeli na wameielewa.
 
Hata ukiboreshaji kimaudhui, lakini kamwa huo sio mziki labda tuweke kwenye kundi la ngoma za kienyeji. Ukiutest kwenye sifa za muziki haupo, muziki ni lugha iliyokamilika ambayo huongea yenyewe hata bila neno hata moja.

AVOGADRO- PHD in music
 
Back
Top Bottom