Sina nguvu za kiume natafuta mwenza, nani atanipenda?

Pole sana kijana kwani utakwa umemiss utamu kwa muda mrefu,pamoja na maoni mazuri yaliyotolewa na wanajamii lakini suala la punyeto usilifanyie masihala acha kabisa mchezo huo, punyeto ni chanzo cha tatizo lako koma kabisa kufanya hiyo na utapona kabisa na utakula uroda kama kawa.
 
Kimsingi kijana huna tatizo lolote,
Na hauhitaji kwenda kwa daktari!
Swalila msingi ni hili, ukiwa peke yako mpaka leo unaweza ku-erect fully? Je, na hiyo masturbation period inakuwa ndefu?
Kama ndio, huna tatizo ila ni WOGA,na HOFU!
Mbaya ni kuwa hiyo hofu iko kwenye cycle....unakuwa na hofu kabla ya tendo kuwa uta-perform vibaya.....kisha unaperform kweli vibaya..unazalisha hofu nyingine!

Cha msingi kama huwezi kujiamni mwenyewe ukakomaa, unaweza uka-dope akili kama wanavyokushauri..au mpate mwanamke atakaye elewa hilo tatizo..asilione kuwa ni kitu cha ajabu halafu.. anza kukaa naye. mkishazoeana hofu itaisha na utaperform kama kawa!

USISAHU KUJA KUTUAMBIA HAPA UKISHINDA BAO LA KISIGINO!
 
Hivi kulwa ni kweli umeacha punyeto naomba unijibu na ulipigia punyeto miaka mingapi kiujumla na je ulikuwa unapiga mara ngapi kwa wiki na pia pindi unapomwingilia mwanamke pale mwanzo uume unasimamaje?plz nijibu then ushauri unafata
 
Hili ni tatizo, umuoe ukiwa na hali hiyo then akuvumilie kivipi haswa?hapo labda ukaoe kwa masister
 
MADHARA YA PUNYETO IKIZIDI1) kumwaga mapema2) kudhoofika kwa kalamu ..
Misuli3) ukosefu wa hamu ya ngono4) block ya kalamu ... duct kulingana na vifaa
usable lubricant5) unfunctioning ya seli sertoli kutokana na 2 matatizo ya
virutubisho n uzalishaji mdogo wa seli manii6) Ni kama madawa ya kulevya
ukizowea kutumia huwezi kuacha7) hatimaye inaweza kusababisha Impotence �
kushindwa kusimama kwa uboo!Madhara mengine ya punyeto ni pamoja na kutokwa na
shahawa shahawa wakati ukufikiri kuhusu msichana,kupungua kwa ukubwa uume,
tapering ya uume katika msingi,kupunguza ukubwa Erection, kiasi kikubwa cha
orgasm na mbaya zaidi ya kumwaga mapema (PREMATURE EJACULATION).USIZIDISHE
PUNYETO KWANI NI HATARI KWA NDOA/MAHUSIANO YAKOMadhara ya mabadiliko hayo kwa
mwili ni pamoja na:Uchovu. Uchuvu wakati woteChini nyuma maumivuKukonda nywele /
Hair kupotezaLaini / dhaifu Erectionkumwaga mapemaJicho floaters au maono
fuzzyKinena / pumbu PainMaumivu au msuli katika fupanyonga cavity au / na mkia
mfupa
 
MADHARA YA PUNYETO IKIZIDI1) kumwaga mapema2) kudhoofika kwa kalamu ..
Misuli3) ukosefu wa hamu ya ngono4) block ya kalamu ... duct kulingana na vifaa
usable lubricant5) unfunctioning ya seli sertoli kutokana na 2 matatizo ya
virutubisho n uzalishaji mdogo wa seli manii6) Ni kama madawa ya kulevya
ukizowea kutumia huwezi kuacha7) hatimaye inaweza kusababisha Impotence �
kushindwa kusimama kwa uboo!Madhara mengine ya punyeto ni pamoja na kutokwa na
shahawa shahawa wakati ukufikiri kuhusu msichana,kupungua kwa ukubwa uume,
tapering ya uume katika msingi,kupunguza ukubwa Erection, kiasi kikubwa cha
orgasm na mbaya zaidi ya kumwaga mapema (PREMATURE EJACULATION).USIZIDISHE
PUNYETO KWANI NI HATARI KWA NDOA/MAHUSIANO YAKOMadhara ya mabadiliko hayo kwa
mwili ni pamoja na:Uchovu. Uchuvu wakati woteChini nyuma maumivuKukonda nywele /
Hair kupotezaLaini / dhaifu Erectionkumwaga mapemaJicho floaters au maono
fuzzyKinena / pumbu PainMaumivu au msuli katika fupanyonga cavity au / na mkia
mfupa
Kimsingi kijana huna tatizo lolote,
Na hauhitaji kwenda kwa daktari!
Swalila msingi ni hili, ukiwa peke yako mpaka leo unaweza ku-erect fully? Je, na hiyo masturbation period inakuwa ndefu?
Kama ndio, huna tatizo ila ni WOGA,na HOFU!
Mbaya ni kuwa hiyo hofu iko kwenye cycle....unakuwa na hofu kabla ya tendo kuwa uta-perform vibaya.....kisha unaperform kweli vibaya..unazalisha hofu nyingine!

Cha msingi kama huwezi kujiamni mwenyewe ukakomaa, unaweza uka-dope akili kama wanavyokushauri..au mpate mwanamke atakaye elewa hilo tatizo..asilione kuwa ni kitu cha ajabu halafu.. anza kukaa naye. mkishazoeana hofu itaisha na utaperform kama kawa!

USISAHU KUJA KUTUAMBIA HAPA UKISHINDA BAO LA KISIGINO!
 
kaka tatizo lako dogo sana..iyo hali mbona inatibika kwa urahisi mno..fanya hivi.,:kuna zoezi linaitwa keggell system..yan hilo linafanya uume wako uwe imara sana na kuweza ku2mia muda mrefu bila kumwaga mapema., sasa linafanywaje? chini ya pumbu ze2 au zako because sisi wote ni wanaume., kuna vishipa vidogo vinaitwa pobbococyte au PB hivyo vinacontrol brain na uume ,kwa ufupi vipo katikati ya ****** na pumbu.,hata ukiwa unakojoa ukishika hapo utaona kuna mshipa ..sasa wakati wa kukojoa ushike huo mshipa alafu fanya kama unazuia mkojo kutoka.,fanya ivyo ivyo mara tatu kwa cku alafu utakuja kuniambia..,kingine kula sana karanga na nazi pamoja na maji mengi na mazoezi pia..kila la kheri
 
Zakumi, Umenena

Hapo ni Yeye Tu wala sio Punyeto ya o _ level au A - Level, N asi kweli kwamba anaupungufu wa Nguvu za kiume

Ni Jinsi anavyo jicontrol akiwa ktk majomboz
 
kaka tatizo lako dogo sana..iyo hali mbona inatibika kwa urahisi mno..fanya hivi.,:kuna zoezi linaitwa keggell system..yan hilo linafanya uume wako uwe imara sana na kuweza ku2mia muda mrefu bila kumwaga mapema., sasa linafanywaje? chini ya pumbu ze2 au zako because sisi wote ni wanaume., kuna vishipa vidogo vinaitwa pobbococyte au PB hivyo vinacontrol brain na uume ,kwa ufupi vipo katikati ya ****** na pumbu.,hata ukiwa unakojoa ukishika hapo utaona kuna mshipa ..sasa wakati wa kukojoa ushike huo mshipa alafu fanya kama unazuia mkojo kutoka.,fanya ivyo ivyo mara tatu kwa cku alafu utakuja kuniambia..,kingine kula sana karanga na nazi pamoja na maji mengi na mazoezi pia..kila la kheri

Hapo mkuu kwenye karanga na nazi si atajaza rehemu(chorestrol) mwilini tu?
Kwenye mazoezi,kergel exercise na maji hapo safi + Matikiti maji fresh.
 
Pole sana,kama ur serious we gugo tu utafanikiwa.Pia keep on eatn fruits,milk,acha kilauri,fanya mazoezi ya kukaza na kulegeza viungo vya siri(kama vile umebana haja ndogo kwa muda wa sekunde tono na kuachia.Hii ni rahisi kwani unaweza fanya zoezi hili hata ukiwa unapiga stori na wenzako kisha ongeza sekunge kadri siku zinavyoenda.).zaidi ya hapo nipm
 
kijana!kwenye title yako umejisingizia huna nguvu za kiume lakini ktk maelezo yako zipo!unaendelea kusingizia mastamasta imekuathiri lakini siyo pia!umejazwa na umejawa na hofu wakati we mzima tu!kwani kuna mwanaume ambaye yake haisinyai?haya sasa!amka!sema "YES I CAN"!katafute zigo chapchap ukale kwa kujiamini!tumia zana tafadhali!
 
ooh sorry kijana nimesahau kwaresma imeshaanza!funga kwa siku 40 huku ukiomba Mungu akuponye na hofu uliyonayo!kisha utajisikia huna hofu tena!tafuta mchumba oa kisha ukale baraka ya tendo la ndoa!ubarikiwe kijana!usisahau kunipa tenda ya umc ktk harusi yako ukiona ushauri huu umelipa!lol!
 
wasiwasi tu we ni rijali ila akili yako inakutuma ufikiri umepoteza nguvu za kiume . wakati mwingine ukiwa na mawazo hiyo hali inaweza kukutokea. kuna wakati nilikaa mwezi nzima sina hamu kabisa na hata uume hausisimami nikaanza kusononeka nikijua kuwa nimepoteza uwezo na kwa jinsi nilivyokuwa rijali ilinibabaisha sana, kwavile nimeoa nikaamua kumshirikisha mwenzangu ilinisaidia sana maana nilikuwa nasema asijekufikiri kuwa natembea nje ya ndoa au simpendi tena maana alikuwa najua uwezo wangu, baada ya umshirikisha ndio alinifingua macho kwa kuniambia kuwa mahali unapita sasa hivi ndio inapelekea kuwa kwenye hali kama hiyo fikiria nilikuwa napita mahali amabapo hata mimi mwenyewe nilikuwa sipajua,.
kwanza biashara zilikuwa haziendi vizuri wakati huo huo nijajenga nyumba kwa kasi maana nilikuwa nataka n imalize na kuhamia ndani ya miezi mitano na ni nyumba kubwa sio ndogo, pia nilikuwa nimenunua shamba kwa bei ghali, wakati huo nimenunu nikawa na wasiwasi kuwa eneo nililonunu huwenda serekali haitaniruhusu kupata hati mana kulikuwa na mpango wa serekali kuyatwaa maeneo hayo, lakini pia nilikuwa kwenye mpango wa kununua gari ya chaguo langu ambayo ningejisikia kweli nina gari na ukiangalia kwa wakati huo natumia hela hakuna income kwenye biashara . na mimi ni mtu ambaye nikiamua kufanya jambo langu nikisha lianza nakuwa na hamu ya hali ya juu ya kulikamili na nimpaka nikamilishe ndio nakuwa na amani.
sasa wakati nikifanya yote hayo mara huku nimegomana na mafundi mara leo mchimba maji hajaonekana na kashachukua hela karibu yote na kazi haiendi yaani ni full mparangano. baada ya my wife wangu kuniambia maali napita nilipata na amani ya ajabu sana na huwezi kuamini usiku wa siku hiyo mzee nikjikuta mwenyewe nataka chakula cha usiku nikala sikuridhika na ulaji wangu lakini kesho yake mzee nilirudia hali yangu ya mwanzo na mpaka leo naendela vizuri. nilikua miti shamba, asalia lakini hazikusaidia.
ndipo nilipoamini hili swala liko kwenye akili zaidi kuliko
 
Back
Top Bottom