Sina hisia na mwandani wangu

rudi kwenye misingi ya mahusiano yenu, je mliijenga ndoa katika misingi ya imani au?
makosa huanzia hapa, fanya yafuatayo
1. jifuze kuomba naye kila siku..
2. someni maandiko matakatifu mkiwa pamoja
3. tenga siku mwambie tufunge maombi tuombeane, ambie aseme kwanza nini anatamani Mungu ambadilishe mumewe (asichokipenda kwako) na wewe mwambie ajue unaomba Mungu abadilishe nini kwake.. (nb. usitaje vingi sana hata viwili vinatosha)
Fanya hivo hata kwa mwezi mzima utaona matokeo..
Ndoa sio nguvu mkuu utaumia
 
I I ws thinking of divorcing her.....! Lkn namuonea huruma sana mwanangu, with that kind of woman, he will not live the way I want to prosper in his life. Naumia mno na hii kitu, kwa kuwa napenda mtoto pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu the best solution ziko mbili tu......kwanza jua wanawake kubadilika ngumu anaweza kupritendi kwa mda ila baada ya mda anarudia tabia zake ni kero sana

Aazisha nyumba ndogo arafu umueleza kwanini umeanzisha

Au Divorce moja kwa moja women are many usiogope masuala ya mtoto atakufuata tu ukiwa na pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni tatizo kubwa la wanawake
Wanadhani wanaume tunataka vikojoleo vyao tu (ni kweli kama vijana)
Ila linapokuja swala la mahusiano ya mda mrefu na tushawaonja inahitaji akili ya ziada kudumu
Na hili ni miongoni mwa matatizo ya mahusiano hasa ukioa au ukiwa na mwanamke mwenye upeo mdogo karata yake ni moja tu private part yake, ndio maana utamkuta yupo bize kufundishana na kugundua style mpya na ndani yupo bize kujiweka uch🙏 loh! No woman, try to be smart, think and share your ideas
 
Taken into account. Ila km intimacy imepungua nitaweza fanya hivi kwl? Imefika hatua ule ukaribu haupo kbs kutokana na matendo yake
rudi kwenye misingi ya mahusiano yenu, je mliijenga ndoa katika misingi ya imani au?
makosa huanzia hapa, fanya yafuatayo
1. jifuze kuomba naye kila siku..
2. someni maandiko matakatifu mkiwa pamoja
3. tenga siku mwambie tufunge maombi tuombeane, ambie aseme kwanza nini anatamani Mungu ambadilishe mumewe (asichokipenda kwako) na wewe mwambie ajue unaomba Mungu abadilishe nini kwake.. (nb. usitaje vingi sana hata viwili vinatosha)
Fanya hivo hata kwa mwezi mzima utaona matokeo..
Ndoa sio nguvu mkuu utaumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kiongozi kwa changamoto hiyo,"age difference" yako na mwenzio ni kiasi gani?
Mweleze tu kwa kina kwamba hauridhiki na hali iliyopo, mpe angalizo kuwa unampa muda fulani wa matazimio (wiki, mwezi, mwaka wewe tu sasa), na kwamba hautasita kuchukua hatua kali zaidi kama hatabadilika, anza na hilo!
 
Back
Top Bottom