mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,160
- 22,615
Sio kweliKama sio mume bora usioe...nb..ndoa nyingi wanaoanzisha matatizo ni wanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweliKama sio mume bora usioe...nb..ndoa nyingi wanaoanzisha matatizo ni wanaume.
Haya mambo nayo yanahitaji likizo
Mpe likizo fupi akirudi ni kama mnaanza upya
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuuhNilishamrudisha kwao km mara nne ndani ya miaka miwili. Hv nnavyouambia yuko kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
I ws thinking of divorcing her.....! Lkn namuonea huruma sana mwanangu, with that kind of woman, he will not live the way I want to prosper in his life. Naumia mno na hii kitu, kwa kuwa napenda mtoto pia.
Leta ukweli
Udhaifu upo pande zote mbili inategemea na source ya tatizo, yeyote anaweza kuwa cha tatizoLeta ukweli
Mkuu the best solution ziko mbili tu......kwanza jua wanawake kubadilika ngumu anaweza kupritendi kwa mda ila baada ya mda anarudia tabia zake ni kero sanaI I ws thinking of divorcing her.....! Lkn namuonea huruma sana mwanangu, with that kind of woman, he will not live the way I want to prosper in his life. Naumia mno na hii kitu, kwa kuwa napenda mtoto pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
chanzo cha ndoa yoyote kuharibka ni mwanamke kutokukaa kwenye nafasi yake... mabadiliko ya mwanaume ni matokeo..Kama sio mume bora usioe...nb..ndoa nyingi wanaoanzisha matatizo ni wanaume.
Hili povu ulilolimwaga hapa sio mchezo yani unaonekana kabisa una chuki kubwa na huyo mkeo, sasa kwa nini uteseke... Unahitaji ushauri wa kiungwana, au wa kibabe?
Na hili ni miongoni mwa matatizo ya mahusiano hasa ukioa au ukiwa na mwanamke mwenye upeo mdogo karata yake ni moja tu private part yake, ndio maana utamkuta yupo bize kufundishana na kugundua style mpya na ndani yupo bize kujiweka uch🙏 loh! No woman, try to be smart, think and share your ideasHilo ni tatizo kubwa la wanawake
Wanadhani wanaume tunataka vikojoleo vyao tu (ni kweli kama vijana)
Ila linapokuja swala la mahusiano ya mda mrefu na tushawaonja inahitaji akili ya ziada kudumu
SawaUdhaifu upo pande zote mbili inategemea na source ya tatizo, yeyote anaweza kuwa cha tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maoni yakochanzo cha ndoa yoyote kuharibka ni mwanamke kutokukaa kwenye nafasi yake... mabadiliko ya mwanaume ni matokeo..
rudi kwenye misingi ya mahusiano yenu, je mliijenga ndoa katika misingi ya imani au?
makosa huanzia hapa, fanya yafuatayo
1. jifuze kuomba naye kila siku..
2. someni maandiko matakatifu mkiwa pamoja
3. tenga siku mwambie tufunge maombi tuombeane, ambie aseme kwanza nini anatamani Mungu ambadilishe mumewe (asichokipenda kwako) na wewe mwambie ajue unaomba Mungu abadilishe nini kwake.. (nb. usitaje vingi sana hata viwili vinatosha)
Fanya hivo hata kwa mwezi mzima utaona matokeo..
Ndoa sio nguvu mkuu utaumia