Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

Kwa hospitali ni kisarawe tu?Mpleke hata temeke,Amana na Mwanyamara maana zote ni DDH zinaweza kufanya huo upasuaji wake tena within a minute.Labda anayapenda shangazi yako ktk majambozi.
 
Hahaha tunatafuta kuweweseka wiki nzima tufikiriwe tuna mapepo bure!

hapo tu kwenye picha ishakuwa tabu sasa ndo ulione live, kuna kulala? utapata usingizi wa mang'amung'amu tu
 
Elephantitis-Elephantiasis-balls.jpg
Hii hapa parade
 
Nahisi kule kuna vifaa vikali zaidi, ngoja nimuwahi.

Ameshanijibu kwa PM. Ameniomba usiweke mambo hadharani kina Gaijin wasije wakampiga bao.

Halaf tangu mnipakazie nina busha, PM za kinamama zimeongezeka kweli, hii inasibitisha kwamba kweli kina mama wanapenda mabusha. Hata hawa kina bht na gaijin wanaona viabu flani tu lakini nina hakika baada ya kuangalia hizi picha za mabusha watadai talaka kwa mabwana zao watutafute
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom