Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

Gee,

hahaaaa ni sample size ya kutosha kutoka na hilo hitimisho... LOL!! (hata jana usiku nilienda kununua viepe vumbi nikamuona mmoja kajizungushia msuli)

wewe je Gee?

Mie hadi muda huu sijawahi kumuona. Sipati picha.

Nimeona wawili watatu wenye matende miguuni though. Yanatisha
 
daah!!! wayatoage basi bheee!!!

Wambie waje tuwapeleke kwa wahusika...Ni surgical operation rahisi saaana!!

Au wambie waende kwenye ofisi za mpango wa Taifa wa kuzuia matende na Mabusah pale Upanga....Dr Mwele Malecela ndiye aliyekuwa mratibu wake!!

La sivyo wambie wafike ofisi za NIMR pale karibu na hospitali ya kansa, Ocean Road!!
 
Acha kumtania Mungu,

Yanasababishwa na minyoo na dawa za kuzuia mabusha na matende zinatolewa na watu wa NIMR kila mwaka... Dar nadhani sasa hivi ni mwaka wa 6 tangu waanze kutoa. Wewe hujanywa???

Sijanywa hiyo dawa. Inatolewa wapi?

Unajua DC kuna sehemu nyengine ujinga unawasumbua na elimu haijawafikia, hao ndio nnaowaombea :]
 
mferenge kabisa huyo na sime yako, au mlenge na manati ya King'asti....

yule ni mamushkar bana...mitindo yake na yangu tofauti kabisa...dont luz your kul
hahahaha........au ntamlaani aoteshwe busha kwenye uso wake.......lol
 
Mie hadi muda huu sijawahi kumuona. Sipati picha.

Nimeona wawili watatu wenye matende miguuni though. Yanatisha

basi hao ukiwaona wao wako poa tu na mizigo yao pale kati
mi naona wa matende wanateseka sana, na hawa wangefikia kiwango hicho cha mateso mbona watahawi wenyewe kunakohusika!!
 
Wambie waje tuwapeleke kwa wahusika...Ni surgical operation rahisi saaana!!

Au wambie waende kwenye ofisi za mpango wa Taifa wa kuzuia matende na Mabusah pale Upanga....Dr Mwele Malecela ndiye aliyekuwa mratibu wake!!

La sivyo wambie wafike ofisi za NIMR pale karibu na hospitali ya kansa, Ocean Road!!

Hata wakimwacha kwa sasa..mwisho wa siku ataenda mwenyewe!!

acha wafikie hatua ya kwenda wenyewe bana
saa hiz wenzio kwao hiyo si prestige, sasa watanielewa nikajifanye mshauri nasaha?
 
Sijanywa hiyo dawa. Inatolewa wapi?

Unajua DC kuna sehemu nyengine ujinga unawasumbua na elimu haijawafikia, hao ndio nnaowaombea :]

Hebu wasiliana na Madaktari pale Upanga kwenye ofisi zao...Kama uko Dar, Pwani, Tanga + Lindi..Hizi dawa zimekuwa zikitolewa kila mwaka. Ni dawa mbili za minyoo zinazotolewa kwa pamoja...Albendazole (hii hata pharmacy zipo) na ivermectin...

Ngoja niwaulize watatoa tena lini!!

Mie nakunywa kila mwaka!
 
kwa nini usimkamate ukamleta hapa jamvini tukamfanyia operesheni? riwa atakuwa senior surgeon na mie ntakua nampasia mikasi. bht atampa dawa ya usingizi.
 
  • Thanks
Reactions: bht
acha wafikie hatua ya kwenda wenyewe bana
saa hiz wenzio kwao hiyo si prestige, sasa watanielewa nikajifanye mshauri nasaha?

Wasaidie tu hata kama watakuona mbaya...Ule mzigo ukifikia tamati si mchezo!!

Na sina hakika kama kale kamashine kanaweza kurudi kwenye hali yake ya kawaida!!
 
Left_Hydrocele_4_040316.jpg
 
Hebu wasiliana na Madaktari pale Upanga kwenye ofisi zao...Kama uko Dar, Pwani, Tanga + Lindi..Hizi dawa zimekuwa zikitolewa kila mwaka. Ni dawa mbili za minyoo zinazotolewa kwa pamoja...Albendazole (hii hata pharmacy zipo) na ivermectin...

Ngoja niwaulize watatoa tena lini!!

Mie nakunywa kila mwaka!
Mzee mwenzangu unakunywa kila mwaka ndo maana umekonda namna hiyo? Au hiyo picha kwenye avatar yako uliipiga kabla hujaanza dozi?
 
Hiyo Albendazole huwa ninakula mwenyewe kila baada ya miezi sita mpaka mwaka.

Nadhani DC ni ukosefu wa taarifa tu. Watu hawajui kama kuna dawa hizo zinazotolewa au zinazoweza kununuliwa madukani.

Haya kila mmoja shime akawahi dawa yake
 
kwa nini usimkamate ukamleta hapa jamvini tukamfanyia operesheni? riwa atakuwa senior surgeon na mie ntakua nampasia mikasi. bht atampa dawa ya usingizi.

heheeee uniwekee vipimo kabisa sikawii kumovadozi akalala kimoja...lol

mmpe biggy ile manati yako anataka kuitumia
 
Duh! Son of Alaska hiyo picha nilifikiri ni sanamu ya njiwa! (@-@)
 
Mzee mwenzangu unakunywa kila mwaka ndo maana umekonda namna hiyo? Au hiyo picha kwenye avatar yako uliipiga kabla hujaanza dozi?

Mkuu hiyo dawa haingezi mafuta machafu mwilini kama ARVs....Ni dawa ya minyoo kama zile tunawapa watoto kila baada ya miezi 3!
 
mweeeh
hiyo ya Son of Alaska imekubuhu naona inafikia kuwa na ngozi ya tembo
 
hii manati inakodishwa! afu ujiandae, nishamuambia fide alete huyo busha hapa tumuopereti! babu atamuwekea waleti yenye fedha za mchango hadi afufuke ndo atulipe.
afu babu punguza lugha hizo,wenzio we ar 35 yrs old babies!
mferenge kabisa huyo na sime yako, au mlenge na manati ya King'asti....<br />
<br />
yule ni mamushkar bana...mitindo yake na yangu tofauti kabisa...dont luz your kul
<br />
<br />
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom