Simulizi Ya Kweli: Msako Wa Mange Kimambi

Nikusaidie ndugu muandishi. Siku nyingine jaribu kuoanisha kichwa cha story na story unayoandika. Kuandika kwamba ni 'True story', lakini kwenye ile dialogue ya mwanzo watu wanagundua ni 'fiction'. Hicho ndicho kilichowachefua watu wengi na wakakutapikia. Mi mwenyewe nilijua kuna mtu kutoka kwenye system anatuibia secret mission flani.
 
Back
Top Bottom