Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 30,132
- 32,647
Nini maana ya Mungu kumletea Adam msaidizi?
Usimuingize Mungu.
Hapa twamjadili Ibilisi na matawi yake.
Nini maana ya Mungu kumletea Adam msaidizi?
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy! Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Nije kwenye pt niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahc kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu! Nimfanyaje mke wa namna hii?
Mwanamme anaependa kuteleza utamjua tuu! hahahahaaaa.....kidding!. ameeleza kweli huyo baby hapo juu
Najua kiasi gani anapata na anaweza kumlipia huyu mtoto isitoshe hata elimu aliyonayo nimechangia sana mpaka anafikia hapa alipofikia! Baada ya kugraduate na kukaa home huku ajira zikiwa magumashi hatiwae fursa ikapatikana huko tukashauriana kulikoni kukaa nyumban bora aende huko halafu tutafanya uhamisho mabadiliko ya kitabia yameanza ndan ya miezi miwili hii ya karibuni! Anyway sintojali sana
Mkuu, mi nakushauri hivi, mwambie aache kazi na awe mama wa nyumbani, hi italeta heshima hata kwao cause hadi pichu itanunuliwa kwa cost code yako.
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy! Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Nije kwenye pt niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahc kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu! Nimfanyaje mke wa namna hii?
Lakini mimi nijuavyo, mwanaume anapaswa kuwajibika kwa kila namna. Ukipata msaada kutokwa kwa mwanamke hiyo ni bahati yako.
Mnajulikana chako chako changu cha familia sio fair.
Upo? Ushaanza na ushauri wako
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mnajulikana chako chako changu cha familia sio fair.
...unaaibisha wanawake wenzako bana....Haya ndiyo matatizo ya wanaume wa cku hizi wanaoa wanawake wenye kazi ili kupunguziwa majukumu yao! Aaaagh! Kwani kutuma pesa home ni tatizo? Labda kama hajakushriksha! Je,mlikubalianaje kuhusu matumizi yenu ya pesa?au umemkurupusha tu?afterall mwanaume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia zakwangu nitatoa nikiamua tena penye ulazima eboo! usilalamike kakope! ndo uanaume huo!
Wengi mkuu wameshapata shida kwa kujadili au kuulizia hela za wake zao! ni wanawake wachache wenye mioyo ya kuwashirikisha waume zao katika vipato vyao, na hiyo basi mpaka wao wapende wenyewe!! ndio hali halisi hata kama hatupendi hatuwezi kukwepa!!Wanamme ndio mnasapoti huu ujinga, sijui ili kulinda ego zenu.
Hivi kwa resourse chache zilizo ndani ya familia, unaruhusuje pesa ya mkeo iwe inachezewa? Mtaanza ku-investi lini? Mie naona mnasapoti ujinga, ujinga tena ujinga.
Ndio maana familia nyingi zinasumbuliwa na umaskini wa hiari, eti hela ya mke ni yake tu.
...ur brainy women...hata kwenye majibu ya mke wa jama....inaonekana kuna shida....Wala tatizo si pesa, tatizo ni hakuna mawasiliano kati yenu.
Mie siwezi samehe mwenza anayetuma pesa kwao bila kunishikisha, awe mke au mume.
Na kwa kujibu, eti kwani ubini umeandikwa wa nani, tayari keshakupanda kichwani, sioni pa kumrekebisha zaidi ya kuvumilia tu kwa hatua aliyofikia.
Hata siku moja siwezi mjibu baba nani eti kwani ubini wa nani. Mume ana heshima yake jamani, khah!
...angebaki kwao basi...wanawake wa siku hizi mana matatizo gani...?PesA aliyotumia ndugu zake ulimpa?au kaitokea jasho.hahhaha wanaume bwana.we unafanys kazi mbona hujatwambia pesa unapeleka wapi? Inaonekana hata hapo nyumbani hujui wanachokula wanatoa wapi na ndio mana kakujibu hiv yo na ndio maana kaamua kudeal na ndugu zake