Simu za mkopo ni wizi mtupu

Mara nyingine tuzungumze kwa uhalisia sio kutanguliza hisia kwa usichokifahamu. Simu za mikopo hizi utalipia kwa kadri thamani ya simu ilivyo. Hakuna simu ya laki 4 ukalipa laki moja kwa mwezi, kama ipo weka ushahidi mezani. Hizi simu zinawasaidia wanaohitaji na siku zote sio kila kitu ni cha kila mtu.

Wewr una uwezo wa kutoa hiyo laki 4 kwa pamoja ila kuna mwingine hana uwezo huo ila ana uhitaji sana wa simu hiyo. Maisha ya sasa, simu janja ni hitaji la muhimu kama gari, sio anasa tena!
 
ushawai kujiuliza kwa nini kampuni nyingi za mikopo na mabenki zinapenda tanzania sababu ya riba yake ni kubwa kwenye leseni huku BOT akukudanganya kuwa riba ndogo
 
Ni wizi kama wizi mwingine tu

Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k

100000 x 12 = 1.200.000

Makato 12 months ni 1.2 milioni
Sio wizi ,ni biashara halali ya makubaliano.
Hata uislam unakubali biashara ya aina hiyo.
 
Ni wizi kama wizi mwingine tu

Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k

100000 x 12 = 1.200.000

Makato 12 months ni 1.2 milioni
Wajinga ndio waliwao kama vipi kwanini usitunze hela yako kwenye Kibubu mwaka 1 ukanunua simu uitakayo
 
Back
Top Bottom