Simu za Line Mbili Utata Temeke

kama ni temeke tu hilo siyo tatizo la simu bali ni provider so simu yako haina matatizo na kama tatizo ni basi sehemu ingine isingefanya kazi
 
ACHENI UZUSHI!! Samsung, Motorola, Nokia, LG, Acer wote wanatengeneza simu za line mbili angalieni wenyewe. Huyo provider wako mmoja atakuwa ana matatizo ya network kwenye hilo eneo, itarudi baada ya muda.

Phone Finder results - GSMArena.com
 
Wachangiaji wote mko sawa kabisa, ila wale wanaokandia simu rahisi toka China wafahamu kuwa tofauti na miaka ya 80, dunia ya leo mawasiliano siyo anasa tena. Mwenye uwezo wa kununua simu ya 800,000 na afanye hivyo, mwenye kumudu simu ya 40,000 na afanye hivyo kitu kimoja wote wanapata mawasiliano na ndugu na jamaa zao popote walipo
 
Back
Top Bottom