Simu ya Android yaeza tumika TZ?

Wailing

Member
Nov 30, 2010
18
0
Habari zenu wanajamii forums..
Naomba kufahamishwa kama simu ya HUAWEI inayotumia system ya ANDROID 2.2 inaweza kutumika kwa line za Bongo? Au kuwa flashed na kuweza kutumika?
Thanks in advance
 
Miezi miwili iliyopita niliziona Nairobi zikiuzwa uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata kuanzia Ksh 8,000 na kampuni mojawapo ya simu (Nimesahau kama ilikuwa ni Safaricom au Airtel Kenya). Nahisi inaweza ikafanya kazi hapa, maana sitarajii kama twatofautiana sana aina za mitandao.
 
kwa maelezo ukisearch android inaelezea kwamba inatumia GSM technology so as kuna mobile 4n companies znatumia hyo GSM technology then t z posible for them to work with tigo, airtel, voda, zantel
kwa ksh 8000..?, is that its realy price..?
 
Nashukuru kwa taarifa
 
Asante kwa ufafanuzi. Kuhusu hio ksh 8000 sina uhakika, ila huku nilipo hio 2.2 inauzwa kama Tsh 450,000
 
Ni Safaricom ndio walikuwa nazo
 
Asante kwa ufafanuzi. Kuhusu hio ksh 8000 sina uhakika, ila huku nilipo hio 2.2 inauzwa kama Tsh 450,000
Android katika simu ipi? android si platform tu jamani au...! 8000 ni kama 140,000/= tu! simu gani jama, tupe brand jamani tuziagize na sisi hzo za safaricom, tutazichakachua tu! te teh!
 
jaribu kugoogle website ya Safaricom utazikuta
 
Habari zenu wanajamii forums..
Naomba kufahamishwa kama simu aina ya ANDROID 2.2 inaweza kutumika kwa line za Bongo? Au kuwa flashed na kuweza kutumika?
Thanks in advance
mkuu kuna simu aina ya Android kweli au unamaanisha simu inayotumia Operating System ya Android? simu kama Sonyericsson Xperia X2 zinatumia Android OS v1.6 na zinatumika bongo, nadhani hata hiyo v2.2 inaweza kutumika inapokuwa Unlocked...:israel::israel:
 
Sure, I meant inayotumia android!! yenyewe ni Huawei. Nimerekebisha, thanks
 
Android ipi unayosema wewe maana hiyo ni OS ya simu inatumia GSM na CDMA technology mi natumia sony ericsson xperia x10 nilinunua nje ya nchi nimekuja nayo bongo cjaiflash coz haikuwa na lock ya aina yeyote,hiyo android platform samsung wameshaanza kuitumia na simu zao wanaziuza mpaka sh laki3 za Kitanzania nadhani ww utakuwa ndio unasema hizo.
 
Simu za android ni nzuri sana, zina software nyingi mno kwa sababu ni open platform. Hii ina maana kuwa yeyote yule anaweza kutengeneza software ya android na ikatumika. Binafsi nnatumia ZTE Blade. Ni simu ya bei rahisi ukulinganisha na simu zingine za Android kama Samsung Galaxy. Hivyo unapata simu ya bei rahisi lakini inalingana kwa ubora na simu za bei mbaya.
 
Android inatumika Bongo sema kwenye App Market yao inakuwa hauwezi kununua Apps, unaweza kudownload za bure tu, majority ni bure lakini so sio tatizo kubwa.

Simu ya Ksh 8,000 ni Huawei Ideos
DXKcy.jpg
 
Back
Top Bottom