Simu yangu ni Infinix Hot9 Play X680. Line ni Voda 4G. Inasoma mwisho 3G tu hata nikiwa mazingira yenye network yenye uwezo wa H+. Nimepitia settings zote muhimu sijagundua tatizo.
Naombeni msaada kutatua changamoto hii.
Oooh! Pole sana. Sasa kama umejiridhisha setting zako zipo sawa, anza kufikiria ubora wa simu yako. Kama unaweza kumpata mwenye simu kama yako, mcheki kama na yeye anapata changamoto hiyo. Ikiwa yeye anapeta, weka alama ya kuuliza.Asante, tigo na ttcl pia hazisomi.
Hata iPhone mkuu hawatumii H wanatumia 3G na LTEMkuu 3G ni tech mama ndani yake ipo hio H+(Hspa+), H(Hspa), wcdma etc.
Hivyo kuna simu badala ya ku andika H+ zinaandika 3G ama nyengine 3.5G. Hili ni jambo la kawaida.
Fanya test yako mwenyewe ingia fast.com ama speedtest.net pima speed kama inazidi 1mbps hio si 3G ya kawaida ni H ama H+ bila kujali kwenye status bar inaonesha nini.
Kabla hujaenda mbali, umecheki access point names? Sio kila simu inaweza kucapture APN by default, nyingine zinahitaji manual configuration na pia inaweza kucapture na ikacupture APN ya 2g only. Mfano tigo unakuta uko kwenye tigoweb badala ya internet au halotel APN inatakiwa kuwa b-internet, mambo ni mengi sana kwenye haya makitu.Simu yangu ni Infinix Hot9 Play X680. Line ni Voda 4G. Inasoma mwisho 3G tu hata nikiwa mazingira yenye network yenye uwezo wa H+. Nimepitia settings zote muhimu sijagundua tatizo.
Naombeni msaada kutatua changamoto hii.