Phone4Sale Simu inauzwa samsung A13 Dar. Haina mushkeli

Ruble

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
621
1,040
Samsung A13 dark blue color
Ni 64 GB, ram 4 gb.
Simu haina tatizo lolote, screen ipo safi.
Simu ipo Dar
Imetumika miezi 11.
Unapewa charger, box, risiti.
Muuzaji ana shida ya haraka kugharamia matibabu ya mzazi wake.
Ameshindwa kuipiga picha kwa kukosa simu ya kutumia kuipiga picha. Picha za box zimeambatanishwa
Bei laki 270-250.

Namba yake 0658 824837

Karibu.

20230912_201943.jpg 20230912_202009.jpg
20230912_201943.jpg
20230912_202009.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom