Simu imewakutanisha....hatimae wameoana!

Sasa! BAK kuna tatizo limejitokeza kati yao....bibie anazo mali nyingi kuliko jamaa...pia anao watoto wawili....jamaa nae ana mtoto mmoja. Tatizo huja bibie akifanya shopping...wanae wanapata vzur kuliko mtoto wa jamaa. Sasa jamaa inamuuma ila hana maamuzi!!

Ukipenda inabidi upende jumla jumla bila ubaguzi hapo ndiyo mapenzi hushamiri zaidi especially ukiwa umejaliwa ngawira za kutosha tu ambazo zinakuwezesha kufanya manunuzi ya nguvu hata kwa watoto wa "kufikia" (I hate these words "watoto wa kufikia" "mama/baba wa kambo"). Ukianza ubaguzi kama unaofanywa na huyo mama basi mwenzie anaweza kabisa kunung'unika na manung'uniko yake yanaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mapenzi yao

YouTube - Nelly Furtado - Say It Right
 
Ukipenda inabidi upende jumla jumla bila ubaguzi hapo ndiyo mapenzi hushamiri zaidi especially ukiwa umejaliwa ngawira za kutosha tu ambazo zinakuwezesha kufanya manunuzi ya nguvu hata kwa watoto wa "kufikia" (I hate these words "watoto wa kufikia" "mama/baba wa kambo"). Ukianza ubaguzi kama unaofanywa na huyo mama basi mwenzie anaweza kabisa kunung'unika na manung'uniko yake yanaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mapenzi yao]

kwa hiyo bila hizo ngawira utashindwa kuwafullfill hao watoto na malalamiko yanaanza taratibu hatimaye mapenzi yanakwisha kabisa!!!!!cha msingi ni kuweka mazingira mazuri ya wao kujua kuna siku ngawira zinakuwepo na cku zinapungua km sio kukata kabisa!!
 
Sasa hii inahusiana vipi na walivyokutana??Nwyz kama mwanamke hampendi mwanae hiyo ni dalili nzuri ya kumkimbiza mapema!Wakioana inaweza kuota chuki kati ya watoto/mtoto wa mume na mama ambayo atapelekea kuondoa maelewano ndani ya nyumba!
Hiyo inahusu!
Mahusiano tangu walipokutana ...bila shaka kulikua na matumaini mengi yatayohusisha kusaidiana na kuvumiliana.
Sasa ukitazama kwa undani...hiyo hali inatia mashaka...yaweza kua kua mmoja wao hakua na nia ya dhati kwenye hayo mahusiano ispokua ilikua ni msukumo wa malengo yake.
 
wengine tulikutana kwa kuazimana novels kupitia kwa 3rd party aliyejua kuwa sote tunapenda kusoma novels. Hadi siku tulipokutana ana kwa ana kumbe tunapishana everyday na hatujuani.
 
Ukipenda inabidi upende jumla jumla bila ubaguzi hapo ndiyo mapenzi hushamiri zaidi especially ukiwa umejaliwa ngawira za kutosha tu ambazo zinakuwezesha kufanya manunuzi ya nguvu hata kwa watoto wa "kufikia" (I hate these words "watoto wa kufikia" "mama/baba wa kambo"). Ukianza ubaguzi kama unaofanywa na huyo mama basi mwenzie anaweza kabisa kunung'unika na manung'uniko yake yanaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mapenzi yao

YouTube - Nelly Furtado - Say It Right

Nimekuelewa BAK.
Hiyo vdeo kwangu imegoma kuonesha...anyway ntaitazama tu!.
Ndio vile bado ninawatilia shaka hawa wapendwa kua huenda wasifike mbali...!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hiyo inahusu!
Mahusiano tangu walipokutana ...bila shaka kulikua na matumaini mengi yatayohusisha kusaidiana na kuvumiliana.
Sasa ukitazama kwa undani...hiyo hali inatia mashaka...
Jibu swali kabla sijakufelisha!Walivyokutana inahusika vipi kwenye malengo na nia?Hapo tatizo ni mmoja wao kutoonyesha upendo au tuseme uelewa wa kutosha juu kumkubali mtu na kile anachokuja nacho!Hata wangekutana kanisani au msikikiti bado huyo dada angekua hivyo hivyo!
 
Swali lipo wapi?
Halafu nikukumbushe kitu muhimu...
Kuna taratibu kwenye kila jambo.
Mtu ataempata mchumba msikitini...lazima ujue atakua amefuata mlinganisho wa maadili hayo. Etc.
Mimi si mlevi nkimpata mchumba mazingira ya kilevi nafasi kubwa kati yetu itakua vurugu & virce versa!.
Pia natamani nkuulize swali kama hautochukia....kanisani wanaenda wakiristo...sasa hawa wakiristo wakioana wanamfuata nani?
 
kanisani wanaenda wakiristo...sasa hawa wakiristo wakioana wanamfuata nani?
Huh?Wanamfuata nani wapi tena??Nwy hiyo formula yako ingekua inaapply ndoa zilizotulia zisingekuwepo!Kuwa na imani moja haiguarantee maelewano!
 
Huh?Wanamfuata nani wapi tena??Nwy hiyo formula yako ingekua inaapply ndoa zilizotulia zisingekuwepo!Kuwa na imani moja haiguarantee maelewano!
Naomba jibu basi!!!
Hili Si Jibu Naona Haliendani Na Swali Nlokuuliza Lizzy!!!
 
siku moja wakati natokea ng'ambo....kwenye usafiri nlikutana na bibie mmoja ambae nlikaa nae seat karibu...alikua mcheshi sana!
Sikutarajia nlipomsikia akinieleza matatizo yake...kama ndie yeye!
Alinipenda kweli hata ningekua mchumba wake.
Lakin nlikua najua matatizo ya kukutana na waathirika wa matatizo...nliamin kwa muda huo ningemfariji...lakin hapo baadae nliamin angerejea kwa ile tabia yake ya asili ingekua ni mtafaruku.
Na hilo lilitokea hakika....japo ni bibie alie karibu yangu. Kwa matatizo mengi anayoyapata hua nkimsaidia ushauri mbali mabali.
Kwa hiyo kuna baadhi ya matukio inabidi kua makini...kama ukiwa kama wale wanaosema ilikua ndio NDOTO yangu...hapo ntelewa. Lakini maneno hayo hua siyapendi hata kuyasikia maana kwangu hayana mashiko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom