Simu imewakutanisha....hatimae wameoana!

Jambo JF!Kwa wakati wa mwanzo ilionekana simu hasa hizi mob.... kua zinachangia kwenye uhalifu mwingi kwa watu wasio waaminifu.Sasa jamaa yangu ananieleza kua hiyo siku alipokea sim ya dada asiemfaham...alipomuuliza huyo dada ataje jina lake...hakujibu.Lakini jamaa nae akawa akimtafuta...hatimae wakawa wakipigiana sim ...wakijuliana hali na kubadilishana mawazo...Hatimae jamaa amemuoa.1-Je hili walionaje?2-Watafika mbali hawa?Nawakilisha.
Maalim Jumar.............mandhali wamekubaliana na kuoana,..........basi hatuna cha kufanya ila ni kuwaombea tuu........network isije ikawa low au simu unayopiga haipakikani duh, maana hii mitandao bwana haina maana.............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom