Simu bora yenye Speed katika internet ni ipi?

Nokia X2-01.
Binafsi naikubali sana hasa unapo2mia voda internet. Iko simple lkn sidhani kama kuna ki2 inamiss. Just around 130,000 brand new. Nafkir zilitoka mwaka jana August 2011.
 
uongo sio mzuri acha hizo mkuu..

ingia hapa Nokia Asha 200 - Full phone specifications

Sasa hizo uongo zangu ni gani au ni vile nimesema huku Tarime inauzwa 170,000/= mimi sikusema hayo mabei ya huko kwenu. Na kama ni vile nimesema Operamini nimeanza kuitumia 2007 ni kweli na kama hauamini bofya hapa http://my.opera.com/Wambura1/about/ Baada ya hapo unisamehe kwa hizo uongo niko nazo sababu ni mmoja tu ndiye mkweli yaani Muumbaji.
 
Hallo Ghian Carter. Simu aina ya Huwaei model U8650, itakufaa sana ina android,screen kubwa na features nyingi unazoweza pata kwenye simu Za bei chafu. Wauzaji ni tiGo bei tzs 195000/-.kama upo Dar nenda mlimani city.
 
Successor wa e61i ni e63 na successor wa e63 ni e71 na huyu akawa e72 then akaja e5.

E5 ndo best qwerty ya nokia no way kumfananisha na yoyote.mikononi naona wanaziuza e5 hadi laki 1 mpya mpya maana hawajui uwezo wake lakini simu kama e61 utakuta bei ghali sababu ya apearence.

E61 ni ya 2007 wakati e5 ya 2011, e61 ina ram 64mb wakati e5 ina 256mb

chief E5 mkononi kwa mia wapi huko!? Kwni nahitaji hiyo.
 
i nokia c5-00 5mp.............hii cm bei yake inarange vip? na je ni smartphone?
 
Okay, nimekupata kaka mkuu. Sasa kama wauzaji ni tigo sio ya single line kweli hiyo? Asante
 
Back
Top Bottom