Simu bora yenye Speed katika internet ni ipi?

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
18,845
48,962
Hi wakuu.
Sorry nilitaka kuuliza hii kitu kwa manufaa yangu na others watakaokua interested. Ni simu gani ambazo bei yake ni affordable ina speed nzuri katika internet? Itakayo mvutia user kwa kutuma na kupokea emails, surf pages mbalimbali, install simple apps kama yahoo mail, google mail, opera mini browser etc. Naomba tuachane na hizi simu kama iPhone, galaxy family, HTC, na jamii ya hizo, ambazo ni laki 3+.
Ebu tuone hizi chini ya laki 2.5 ambazo wengi tukijinyima tunaweza kununua.
Asante
 
Pia iko poa katika kudownload na ina uwezo wa kukupa uwanja mpana wa kutumia application mbalimbali za simu pia sio ghali kwa maesabu ya sh 100000
 
hebu cheki pia Nokia 2700c, iko poa. Nimeitumia mpaka nilipopigwa kabali kibera.
Ina maps, live mail, opera, +unadownload apps. memory card micro. Sijawahi kujaribu skype though.
 
Hata Nokia Asha 200 ni nzuri huku Tarime ni Tshs 170,000/= iko poa kwa hizo mambo za net na pia java applications. Yaani ukitaja hayo maOperamini mzuka unanipanda yametulia. Nimeanza kuyatumia 2007
 
Wakuu nimeshukuru kwa hiyo list mlionipa. Nitafanya kuziangalia then nitacheki itakayonivutia.. asanteni
 
Hata Nokia Asha 200 ni nzuri huku Tarime ni Tshs 170,000/= iko poa kwa hizo mambo za net na pia java applications. Yaani ukitaja hayo maOperamini mzuka unanipanda yametulia. Nimeanza kuyatumia 2007

Mkuu asha 200 ni sh 74,999 aka 75,000 tu na inauzwa vodashop zote nchini
 
hivi jamani ni wote wanapenda qwerty na touchscreen?

Kama hupendi qwerty (button nyingi a-z) na hutaki touch basi candybar nzuri on the market ni nokia c5-00 5mp.
nokia-c5-00-5mp1.jpg


-Why nataja hii? Kwanza ina speed 10mbps hii inamaana kama eneo ulipo voda au mtandao mwengine unafika 800KBps hadi 900 kwa simu hii utafkisha kuanzia 1MBps na kuendelea sababu modem za voda na mitandao mengine tz inaishia 7.2mbps sawa na 900KBps.

Kama mpenzi wa qwerty button nyingi kwenye block la nokia nenda kwa e5 na block la android nenda kwa samsung galaxy chat.

Samsung-Galaxy-Chat1.jpg


Hii ni simu mpya ya samsung ina touch na qwerty mi pia imenivutia speed ni 7.2mbps inatumia android ice cream sandwitch na itakua upgraded kwenda jelly bean. Ni simu pekee ya android yenye os hio kwa bei chini ya laki 3
 
Samsung chat is awesome i think. Ilabseems kama picha yake ume download, vipi kibongo bongo watakubali kuuza less than 300k?
 
Inaendaje e61i? Nimeiona gsmgarena.com iko hot sana. Keyboard yake ya qwerty nimeipenda sana. Ni toleo la mwaka gani?
 
Samsung chat is awesome i think. Ilabseems kama picha yake ume download, vipi kibongo bongo watakubali kuuza less than 300k?

Mkuu picha zangu zote nadownload sio kwamba hizo simu ninazo.

Price mimi nazitafutia india kwa bei ya reja reja hio simu kule wanauza 255,000 (rs 8450) sasa kibongo hata ikipanda haitaenda mbali.
 
samsung hakuna kitu betri ni kama simu za siemens chagua hizo nokia walizo list hapo juu,vilevile kuna nokia e61i ni nouma

Mkuu kwani amesema anaishi kijijini ambako hakuna umeme? Hapa kinachomata ni simu inayofit parameters za jamaa na hayo mambo ya betri sio issue sana kwani unaweza kuchajia hata kwenye computer
 
samsung hakuna kitu betri ni kama simu za siemens chagua hizo nokia walizo list hapo juu,vilevile kuna nokia e61i ni nouma

Successor wa e61i ni e63 na successor wa e63 ni e71 na huyu akawa e72 then akaja e5.

E5 ndo best qwerty ya nokia no way kumfananisha na yoyote.mikononi naona wanaziuza e5 hadi laki 1 mpya mpya maana hawajui uwezo wake lakini simu kama e61 utakuta bei ghali sababu ya apearence.

E61 ni ya 2007 wakati e5 ya 2011, e61 ina ram 64mb wakati e5 ina 256mb
 
Back
Top Bottom