Wale wa Senegal walikua level yakina zidane na Henry, we unazani walikua rank moja ? Suala ni kupambana tuuUnfananisha vitu viwili tofauti rejea timu ya senegal ilikuwa na watu gan na simba ima watu gan

SawaWale wa Senegal walikua level yakina zidane na Henry, we unazani walikua rank moja ? Suala ni kupambana tuu
Km alivyozngua your mother kumpa papuch dingi yako ukatolewa mbwa wwWanazingua sana
Kichwa chako kimejaa KAMASITumechoka na haya mambo ya kufa kiume, timu ambayo haiwezi kutunza goli for 15min , strategy za kocha ni mbovu.
Haiwezekani goli muhimu kama lile linarudishwa in five minutes , what is wrong na hii timu , kila siku tumekufa kiume….. mpira hauhitaji kufa kiume, mpira unahitaji matokeo.
Hapa kwenu Dar mliongoza and in 5 minutes goli likarudi…..what is wrong . Game kama hizi ni lazima uwe na uwezo wa kulinda goli la dhahabu hiyo pia ni strategy or else utaishia hapo hapo kwenye comfort zone yenu
Hii mambo ya tumepambana kiume ni upuuzi
Mlikuwa na option ya kulinda hilo goli hata kwa damu, but akili changa.
Simba ni baba yako peke yakoUngesema Simba inahitaji kusajili wachezaji wa kuamua matokeo katika mechi ngumu za kimataifa sababu uzoefu upo huenda ungeeleweka.
BABA yako akikupa ugali maharage shukuru sio unaanza kuuliza kwanini hatuli kuku ilihali unajua mzee bajeti haipo sawa kununua kuku. Simba ni baba hapa East Africa, anafanya vitu ambavyo wengine wameshindwa, inatakiwa itenge fungu la usajili la uhakika la wachezaji wanaoweza amua mechi ngumu za kimataifa. Uwe na shukrani KWA BABA YAKO.
Aaahaaaaa
Mwanaume wapi anachomeka mwiko nyuma!simba ni hawa aliyetoka ubavuni Mwa mwanaume Yangaa .
Tumechoka na haya mambo ya kufa kiume, timu ambayo haiwezi kutunza goli for 15min , strategy za kocha ni mbovu.
Haiwezekani goli muhimu kama lile linarudishwa in five minutes , what is wrong na hii timu , kila siku tumekufa kiume….. mpira hauhitaji kufa kiume, mpira unahitaji matokeo.
Hapa kwenu Dar mliongoza and in 5 minutes goli likarudi…..what is wrong . Game kama hizi ni lazima uwe na uwezo wa kulinda goli la dhahabu hiyo pia ni strategy or else utaishia hapo hapo kwenye comfort zone yenu
Hii mambo ya tumepambana kiume ni upuuzi
Mlikuwa na option ya kulinda hilo goli hata kwa damu, but akili changa.
Yaani mpaka nimeshangaa Bocco kucheza kipindi kizima huku akiwa Hana madhara yoyote kwa adui dah. Vitu vingine tunajitakia wenyewe, kila siku itakuwa robo fainali🙌Hakuna spirit ya upambanaji,hivi hata kumuanzisha Bocco sijui Kocha alikuwa naaana gani
Lakred ayoub mdaka panzi usajili 3bnUngesema Simba inahitaji kusajili wachezaji wa kuamua matokeo katika mechi ngumu za kimataifa sababu uzoefu upo huenda ungeeleweka.
BABA yako akikupa ugali maharage shukuru sio unaanza kuuliza kwanini hatuli kuku ilihali unajua mzee bajeti haipo sawa kununua kuku. Simba ni baba hapa East Africa, anafanya vitu ambavyo wengine wameshindwa, inatakiwa itenge fungu la usajili la uhakika la wachezaji wanaoweza amua mechi ngumu za kimataifa. Uwe na shukrani KWA BABA YAKO.
NakaziaAnzisheni timu zenu zitakazokuwa zinashinda kila mechi.
Hongereni Simba
Watu mpo depressed ya mpira ndo unakupa hasira kiasi hiki 😁😁🔨Km alivyozngua your mother kumpa papuch dingi yako ukatolewa mbwa ww
Mamelod mwenyewe tangu 2016 (miaka 8) anaishia robo kama kawaida licha ya kuwa na kikosi cha mabilioni, seuze Simba Sc iliyopiga hatua kutoka kwenye kuwa underdog.?Watabaki kusema inshallah allah hakutaka
Hiyo inshallah ni kwao tu siku zote
Mpunga Kama wote uliowekwa unapata goli kama like dakika ya Sabin kweli mnashindwa kufia uanjani…..
FAaaq off hili timu hakina watu wenye akili