Simba yawaonesha Yanga namna ya kufuzu robo fainali

Mr Alpha

Senior Member
Jul 31, 2018
195
522
Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu bingwa Afrika ni sawa na mmasai kubeba sime na rungu, imekuwa ni kawaida kabisa.

Kama sio simba iliyo katika mpito basi Jwaneng Galaxy leo huenda wangekumbana na dhahama kubwa mara mbili ya kilichowapata leo.

Kuna magoli kama matano ya wazi simba imekosa matatu kakosa clatous chama, jobe 1 na kibu 1

Kwa matokeo haya simba imeweka rekodi ya Tanzania kuingiza timu mbili robo fainali ya klabu bingwa Afrika, mara nyingi huwa wanafuzu simba peke yao miaka yote hivyo mwaka huu Yanga wameosha nyota pia

Simba bado inahitaji teamwork kuweza kupata matokeo mazuri hatua ya robo fainali bado muunganiko sio mzuri sana kuna ubinafsi mwingi sana wachezaji wengi maamuzi ya mwisho kati ya assist na kufunga hawajui cha kufanya kwa wakati muafaka (poor timing)

Maamuzi sahihi katika nafasi ya umaliziaji leo imewanyima simba ushindi mnono kuliko walioupata Anyway hongera sana simba na Yanga
 
Yaani simba amfundishe mtu aliyefuzu na mechi moja mkononi?
 
yaani timu iliyocheza fainali mwaka jana tu hapo ndo ifundishwe kufuzu robo!!!
akili zenu huwaga zipo kwenye mat@ko nini!!!
 
Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu bingwa Afrika ni sawa na mmasai kubeba sime na rungu, imekuwa ni kawaida kabisa.

Kama sio simba iliyo katika mpito basi Jwaneng Galaxy leo huenda wangekumbana na dhahama kubwa mara mbili ya kilichowapata leo.

Kuna magoli kama matano ya wazi simba imekosa matatu kakosa clatous chama, jobe 1 na kibu 1

Kwa matokeo haya simba imeweka rekodi ya Tanzania kuingiza timu mbili robo fainali ya klabu bingwa Afrika, mara nyingi huwa wanafuzu simba peke yao miaka yote hivyo mwaka huu Yanga wameosha nyota pia

Simba bado inahitaji teamwork kuweza kupata matokeo mazuri hatua ya robo fainali bado muunganiko sio mzuri sana kuna ubinafsi mwingi sana wachezaji wengi maamuzi ya mwisho kati ya assist na kufunga hawajui cha kufanya kwa wakati muafaka (poor timing)

Maamuzi sahihi katika nafasi ya umaliziaji leo imewanyima simba ushindi mnono kuliko walioupata Anyway hongera sana simba na Yanga
Baada ule mkojo wa bao tano unawasha ,Mnataka kukojolewa tena

Ila simba ni wavumilivu sana unakojolewa matone matano na unajisifu
 
Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu bingwa Afrika ni sawa na mmasai kubeba sime na rungu, imekuwa ni kawaida kabisa.

Kama sio simba iliyo katika mpito basi Jwaneng Galaxy leo huenda wangekumbana na dhahama kubwa mara mbili ya kilichowapata leo.

Kuna magoli kama matano ya wazi simba imekosa matatu kakosa clatous chama, jobe 1 na kibu 1

Kwa matokeo haya simba imeweka rekodi ya Tanzania kuingiza timu mbili robo fainali ya klabu bingwa Afrika, mara nyingi huwa wanafuzu simba peke yao miaka yote hivyo mwaka huu Yanga wameosha nyota pia

Simba bado inahitaji teamwork kuweza kupata matokeo mazuri hatua ya robo fainali bado muunganiko sio mzuri sana kuna ubinafsi mwingi sana wachezaji wengi maamuzi ya mwisho kati ya assist na kufunga hawajui cha kufanya kwa wakati muafaka (poor timing)

Maamuzi sahihi katika nafasi ya umaliziaji leo imewanyima simba ushindi mnono kuliko walioupata Anyway hongera sana simba na Yanga
Hata mashabiki wenzako wa simba wenye akili timamu wakisoma hiki ulicho kiandika hapa, lazima watakuona tu wewe ni mmoja ya wale mamia ya mashabiki walioitwa mbumbumbu na Mwenyekiti mstaafu.
 
ko toka mwaka huo had leo hamjawahi shiriki makundi ya CL?
Kwani nyie mlikaa miaka mingapi? Utadhani tangu haya mashindano yaanzishwe kila mwaka mpo.

Pia, kwa taratibu za zamani, ilikuwa ni Bingwa wa ligi tu ndio anashiriki na nyie miaka hii miwili mnashiriki mkiwa sio mabingwa bali kwa kanuni tu.
 
Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu bingwa Afrika ni sawa na mmasai kubeba sime na rungu, imekuwa ni kawaida kabisa.

Kama sio simba iliyo katika mpito basi Jwaneng Galaxy leo huenda wangekumbana na dhahama kubwa mara mbili ya kilichowapata leo.

Kuna magoli kama matano ya wazi simba imekosa matatu kakosa clatous chama, jobe 1 na kibu 1

Kwa matokeo haya simba imeweka rekodi ya Tanzania kuingiza timu mbili robo fainali ya klabu bingwa Afrika, mara nyingi huwa wanafuzu simba peke yao miaka yote hivyo mwaka huu Yanga wameosha nyota pia

Simba bado inahitaji teamwork kuweza kupata matokeo mazuri hatua ya robo fainali bado muunganiko sio mzuri sana kuna ubinafsi mwingi sana wachezaji wengi maamuzi ya mwisho kati ya assist na kufunga hawajui cha kufanya kwa wakati muafaka (poor timing)

Maamuzi sahihi katika nafasi ya umaliziaji leo imewanyima simba ushindi mnono kuliko walioupata Anyway hongera sana simba na Yanga
Mzee, Yanga kampiga bingwa wa Algeria goli nne na kufuzu hapo hapo sio makirikiri hata history ya mashindano ya CAF hawana. Yaani Yanga walishatangulia kufuzu tokea tarehe 24. Vipi ulikuwa kijijini?
 
Huyo mtu kama alifuzu mara sita mfululizo yeye ndiyo kamfundisha Mnyama vinginevyo basi akafie mbele hatuna msaada naye.
Msimu uliopita kuna timu ilitoa somo la jinsi ya kucheza fainali na sio kuishia robo, msimu huu kaishaingia anapiishia mwenzie ngoja tuone kama na huku atatoa somo hilo au lah
 
Ndio nimeshangaa, yaani Yanga imefuzu tokea wiki iliyopita halafu mtu anakuja kuandika pumba hapa. Inawezekana mpira ajui huyo anafikiria labda Yanga imefuzu jana.
Nimeandika pumba!! Naujua mpira kuliko unavyofikiria Simba mseme kwenye ligi ila kweny CAF champion ni Habari nyingine
 
Kwani nyie mlikaa miaka mingapi? Utadhani tangu haya mashindano yaanzishwe kila mwaka mpo.

Pia, kwa taratibu za zamani, ilikuwa ni Bingwa wa ligi tu ndio anashiriki na nyie miaka hii miwili mnashiriki mkiwa sio mabingwa bali kwa kanuni tu.
Sisi tulikua tunashiriki kwa kanuni, na nyie washiriki wa halali mlikua mnakwama wapiiiii??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom