Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,616
7,863
Asante sana StarTv Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE

updates:
Simba 1 - Yanga 1
- Goli la simba limefungwa dk ya 4 na Mchezaji Amri Kiemba, Goli la Yanga limefungwa na Bahanuzi katika dakika ya 65 ya mchezo kwa njia ya penalty

Redcard: Dakika ya 80, yanga sasa wanacheza 10 uwanjani:
Simon Msuva analambwa Red.......

Dakika ya '90', bado 'ngoma droo' - dakika 5 zimeongezwa.

Mpira umekwisha, Simba 1 - Yanga 1. Angalau sasa kutakuwa na amani pale 'jangwani'!
 
Wadau mbona kimya kingi? Mechi imeanza au bado. Je kuna link yoyote ya ku - access mechi? Leteni matokeo
 
Yanga kama hamuwajui wachezaji wa Simba someni tu Jezi zao Nyuma. Leo lazima muanze kati sana.
 
Goooooooooooooooooooooooooooo simba 1 yanga 0 yale ya 5bila yatajirudia leo
 
Back
Top Bottom