Simba Vs Ruvu JKT

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Jamani naomba kupata updates za mechi kati ya Simba na maafande wa Ruvu JKT unaochezwa leo kwenye shamba la Bibi Temeke mwenzenu niko mbali sina njia ya kupata matokeo zaidi ya hapa jamvini. Updates please
 
Usikonde, bado bila bila, uwanja ulijaa maji bt sasa soka linachezwa
 
Duh shamba la bibi nalo kwa maji?? kwa hiyo wametoa maji kwa magodoro kama kawaida??? makubwa. mechi dakika ya ngapi now na matokeo?
 
duh aisee, Lunyasi anaweza kuutema ubingwa kimchezomchezo eehh??? Haya tungoje dk 45 za mwisho.
 
kaazi kwelikweli yawezekana tukadraw na leo!!kama sio kupigwa sijui ngoja tuone!!!!tumekua kama arsenal!
 
kaazi kwelikweli yawezekana tukadraw na leo!!kama sio kupigwa sijui ngoja tuone!!!!tumekua kama arsenal!
Kwa soka la bongo hapo lazima atafutwe mchawi ni nani na lazima kuna wachezaji watatolewa kafara kuwa wao ndio wamesababisha
 
Kwa soka la bongo hapo lazima atafutwe mchawi ni nani na lazima kuna wachezaji watatolewa kafara kuwa wao ndio wamesababisha

Simba wanataka kuniharibia hii mini-weekend yangu.....:disapointed:
 
Back
Top Bottom