Simba Vs Ruvu JKT

Hawa wachezaji tuwatandike viboko nini, mbona wanakosa mabao mengi sana.....
 
Poleni sana. Labda mwakani mfikirie kubadili uzi wenu 'mwekundu' kama wa arsenal yawezekana ndo unasababisha tabu.
 
Dakika na matokeo mapya tafadhali jamani pressure zinapanda wengine huku
 
Dihile anatolewa nje nadhani ni kwa mzonga mwamuzi, dk35
 
Duh afadhali pressure inashuka taratiiiiibuuuuuu sasa, bora lawama kuliko fedheha duh
 
mpaka sasa matokeo ni moja kwa moja, dilile katolewa nje kwa red card
 
Back
Top Bottom