Simba vs Moro, Azam FC vs Mtibwa Sugar

Hivi nani ana website mpya ya simba ? last time nilisoma mahali kuwa wameingia contract na some professional firm. Hii ya simba.co.tz jana ilikuwa inagoma na imekaa ki-lusinde, lusinde :)
hahahahahahaha ndiyo hivyo kibongo bongo......
 
Bado sana kushangilia. Tunahitaji kama goli 6-0 ili kuepusha upangaji wa matokeo wa Azam iwapo ataendelea kushinda. Azm itapata upinzani kwa Toto, lakini itakuja kuifunga Kagera hata 5-0, so tunahitaji bao sita hivi ili tuone kama wataifunga Kagera 10-0
 
Mkuu, Unaitofautisha je yanga na Toto...Yanga wangependa ubingwa uchukuliwe na Azam na Siyo Simba hiyo mipango inaweza kufanyika kwa toto akapigwa mengi tu.....
 
Bado sana kushangilia. Tunahitaji kama goli 6-0 ili kuepusha upangaji wa matokeo wa Azam iwapo ataendelea kushinda. Azm itapata upinzani kwa Toto, lakini itakuja kuifunga Kagera hata 5-0, so tunahitaji bao sita hivi ili tuone kama wataifunga Kagera 10-0
hayo ndo maneno.
 
Je Azam FC inanunua mechi tangu mechi ya Azam na Yanga tuliona kadi nyekundu, mechi ya Polisi na Azam mchezaji wa Polisi alipewa kadi nyekundu, leo mechi ya Azam na Mtibwa tumeona kadi nyekundu....je Azam wanafanya mchezo mchafu?
 
halafu wenyewe ndio wa kwanza kulalama
 
Je Azam FC inanunua mechi tangu mechi ya Azam na Yanga tuliona kadi nyekundu, mechi ya Polisi na Azam mchezaji wa Polisi alipewa kadi nyekundu, leo mechi ya Azam na Mtibwa tumeona kadi nyekundu....je Azam wanafanya mchezo mchafu?
kwakweli inastaajabisha. Inawezekana kabisa kuna mchezo mchafu unatawala.
 
Je Azam FC inanunua mechi tangu mechi ya Azam na Yanga tuliona kadi nyekundu, mechi ya Polisi na Azam mchezaji wa Polisi alipewa kadi nyekundu, leo mechi ya Azam na Mtibwa tumeona kadi nyekundu....je Azam wanafanya mchezo mchafu?

tupe update kamanda
 
Azam huwa wanashinda dk za mwishoni
Sasa nina mashaka kuna uwezekano mkubwa wananunua mechi................gggggggggggggggggggoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo simba 3 na moro 0
 
Back
Top Bottom