Simba vs Moro, Azam FC vs Mtibwa Sugar

Simba bingwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
2011/2012

Ni hayo2
 
afadhari kama tumechukua ubingwa mwaka huu. Maana tuna uhakika wa kufanya vizuri kwenye mechi za kimataifa. Tofauti na Yanga ambao huwa wana kimbelembele cha kuchukua ubingwa halafu kwenye international games wanachemka.
 
Kule Chamazi mechi imevunjika ikiwa 1-1, si kwamba mpira umeisha. Azam watapewa mabao matatu na point tatu kwani Mtibwa ndio inasemekana wamegomea penalti. Too early to celebrate
 
Mwaka huu kweli sio wa KIJANI maana kijani ikiwa uwanjani (Yanga) ni ngumi na kareti. Kijani(Lusinde) ikiwa jukwaani ni matusi bila sera. Muniwie radhi ni fikra tuu.
 
Hakuna cha kukuwia radhi umeongea ukweli mtupu kudadadeki...hahahahahah
Mwaka huu kweli sio wa KIJANI maana kijani ikiwa uwanjani (Yanga) ni ngumi na kareti. Kijani(Lusinde) ikiwa jukwaani ni matusi bila sera. Muniwie radhi ni fikra tuu.
 
Back
Top Bottom