Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Duh, kama kukosa magoli game moja/mbili basi adhabu ndiyo hizi basi akina Torres, carroll, Suarez au yule Manywele sura mbaya wa arsenal (from Ivory Coast) wangeshakatwa vichwa !!

Huwezi kumfananisha huyu na wale mabondia Mwape na Asamoah !
 
Hahahaaaa! et nini? uwanja? kila atakayegombea uongozi simba atatumia ahadi hiyohiyo mpaka simba mtakapogundua mliingizwav mjini.
 
Jamani mtu yeyote aliye karibu na Rage atujuze, au kama Rage mwenyewe anapitia hapa jamvini. Ule uwanja upo wapi mbona siku zinayoyoma kimya? Wale waturuki wamepotelea wapi?
Utakuwa wa kukunja na kukunjua, tayari tushaanza kuujenga kwenye jengo letu pale Msimbazi, ukishakamilika tunaubeba kuupeleka Bunju kwa hiyo mnaokuwa mnauli uliza tulizeni mizuka, uwanja uko hatua za awali tunajengea ndani mtauona tu ukishakamilika.
 
Nadhani umefika wakati Simba kuvunja mkataba na Felix Sunzu wamlipe asepe. Haiwezekani strika alipwe dola 3500 kwa mwezi akose magoli vile hata Musa Mgosi waliyemtupia virago akosi magoli vile.. Watafute targetman mwingine mwenye njaa na nyavu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nakubaliana na wewe, leo wote tumeona alivyoikosesha simba ushindi
 
basi akina Torres, carroll, Suarez au yule Manywele sura mbaya wa arsenal (from Ivory Coast) wangeshakatwa vichwa !!

Huwezi kumfananisha huyu na wale mabondia Mwape na Asamoah ![/QUOTE]

Sunzu bado ananafasi ya kuonesha soka na kuvamia nyavu. Tuzidi kusubir kwani najua mkwaju wa penalt aliokosa jana umeamsha maneno kwetu mashabiki
 
Duh, kama kukosa magoli game moja/mbili basi adhabu ndiyo hizi basi akina Torres, carroll, Suarez au yule Manywele sura mbaya wa arsenal (from Ivory Coast) wangeshakatwa vichwa !!

Huwezi kumfananisha huyu na wale mabondia Mwape na Asamoah !
Acha uzushi.
 
Back
Top Bottom