Simba mnatutesa ila jipu la kuonekana haraka ni Benchika

Anacheza namba zote. Uelewa wa mashabiki wengi wa Tanzania ni mdogo sana. Mpira unachezwa sio pale uwanjani tu. Mpira unaanza kuchezwa nje ya uwanja.
Kabla ya Mo mlikuwa mnaishia makundi au preriminary stage
Simba iko top ten CAF na africa ina timu za ligi kuu zaidi ya 700.bado useme Mo hafai
 
Ningekua kiongozi pale simba dirisha dogo ningewachukua
Elvis rupia, marouf tchakei, jackson kagoma, bruno gomez, yanick bangala na nikamrudisha babu onyango halafu ningewatoa
Aubin kramo, luis miquisonne, essomba onana, sadio kanoute na saidoo ntibanzokiza

Trust me CAF tusingepigwa nje ndani, FA tusingetolewa na ubingwa tungeendelea kuufukuzia
 
Nchi ngumu sana hii hakuna tatizo kubwa simba ila bwana miungu watu wamesema timu isishinde itie aibu ama sivyo anatekwa tena kwa hyo kuwa mvumilivu tu
Ndio ushuzi unaowaza huu

Nyie ndio maana mkaitwa mbumbumbu. Hamtaki kabisa ku face ukweli, always mnatafuta vichaka vya kitoto kujifichia

We ndezi sana aisee kama ndio unachowaza hiki
 
Midomo mmepewa bure ongeeeni mpka mteme nyongo...
Na hii ndio changamoto ya vijana wa sasa na kushabikia timu. Wao ni kulaumu na kumlaumu Mo kila siku. Sisi watu wazima, hatutamami soka la Tanzania kurudi kule kwa zamani kuongozwa na makomandoo. Ni vyema tuache haya maneno na chokochoko kwa usalama wa timu zetu na murndelezo wa mpira wetu.

Hakuna timu isiyofungwa chini ya jua. Simba wakifungwa ni lawama na maneno kwa kwenda mbele.
 
Yani wanaboa sana..so Mo ndo kawafungisha? Yani Simba ya Mo iko top ten Africa..hivi vichangamoto vya wachezaji ambao kesho keshokutwa wanakuwa replaced mbona ni tatizo dogo tuu litarekebishwa...yani mpira umevamiwa na vitoto vingi..vitoto malalamiko..havi reason..sasa kuna timu duniani haipitii changamoto?
 
Benchika mtamuonea bure. Majipu pale Simba yapo matatu Try Again, Mangungu na Kajula. Hivi pesa waliyotumia kuwasajili Freddy na Jobe unapata wakina Lusajo wangapi ambao wanaweza kufanya kazi ya kiume uwanjani.

Huyo Freddy mwili jumba na ameenda hewani sekunde lakinu bure kabisa. Krosi zinapigwa mabeki wafupi wanaruka wanaokoa mbele yake yeye hata kuruka afunge hawezi halafu unamlaumu vipi Benchika. Kwa mwili wake alitakiwa awe anawalalia mabeki anafunga kirahisi lakini wapi mabeki wana miili midogo kuliko yeye wanamtoa kwenye reli kirahisi hapo tena utamlaumu Benchika
 
Huna akili. Jipu ni Mohammed Dewji. Fala wewe usie na akili.
Ngozi nyeusi shukrani uwa hamna kabisa!! Uyo MO Dewji ndio kawatoa heda ! Mlikaa miaka minne bila hata ubingwa wa kombe la kahawa! Timu ilikuwa ikienda mikoani kucheza ligi lazima ipite kila wilaya kucheza ndondo kutafuta nauli ndio ifike daslamu. Ngozi nyeusi miyeyusho sana
 
Yani wanaboa sana..so Mo ndo kawafungisha? Yani Simba ya Mo iko top ten Africa..hivi vichangamoto vya wachezaji ambao kesho keshokutwa wanakuwa replaced mbona ni tatizo dogo tuu litarekebishwa...yani mpira umevamiwa na vitoto vingi..vitoto malalamiko..havi reason..sasa kuna timu duniani haipitii changamoto?
Jana niliangalia wakicheza na Ihefu. Mbona timu inacheza vizuri tu. Hata game na Al Ahly walicheza vizuri tu. Kufungwa ni kitu cha kawaida tu.
 
Ngozi nyeusi shukrani uwa hamna kabisa!! Uyo MO Dewji ndio kawatoa heda ! Mlikaa miaka minne bila hata ubingwa wa kombe la kahawa! Timu ilikuwa ikienda mikoani kucheza ligi lazima ipite kila wilaya kucheza ndondo kutafuta nauli ndio ifike daslamu. Ngozi nyeusi miyeyusho sana
Pesa isiwe chanzo cha fedheha. Timu sio ya kwake. Atuachie tuanze upya.
 
Back
Top Bottom