___pennie
Member
- Jan 3, 2023
- 12
- 155
Kwa waliofuatilia mpira wa jana kati ya Simba vs Al ahly nani mnyama?. Wewe ubashiri wako ulimpa nani?.
Mimi nilimpa simba pale sokabet bwana nikiwa na uhakika atamuua mwarabu.
Lakini tuipe Simba maua yake bado wamefanya vizuri sana. Najua watani walisubiri simba wapigwe.
Haya sasa Mwezi ujao mtani yuko na mwarabu. Je atatoboa kweli????.