Simama imara kama simba,makelele wasikutishe Kennedy Otieno!

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
Weekend nyingine ndiyo hiyo jamani..mimi bado niko na nyimbo za nyumbani tu.
Wimbo wa leo ni ule wa"Kennedy otieno...." Huu ninasikia sauti za akina Taksis Masella wa Akudo Impact.....Mashallah ..kajaliwa sauti huyu bwana kaka!
Kwa kweli nimevutiwa na maneno ya wimbo huu maana inaonyesha huyu anayeimbwa ni mfano wa kuigwa kwa vijana....
anaimba:
simama imara kama simba,makelele wasikutishe Kennedy Otieno
MAISHA NDIVYO YALIVYO SONGA MBELE.....
Mungu akubariki..upate mafanikio zaidi...
Maishani mwako usijenge mipaka ..uwe daraja kwa wengine

Pamoja na burudani yake... nikajiuliza hivi tunasikiliza nyimbo hizi ili zituburudishe tu au pia zitupe mafundisho?
Nimependa hii song maana imetulia!
Je wewe ni daraja kwa wengine kama Kennedy Otieno au umejenga mipaka kwa wengine?
Naomba michango yenu.
 
Huyo Kennedy Otieno simjui ila wimbo huo sio wa Akudo bali ni Single ya Patcho Mwamba pamoja na Tarsis Masela,WOS Kuna jamaa anaitwa Zagreb Butamu sura ya mvuto sauti ya biashara! Duh nampenda sana huyo jamaa anajua kuimba sana.
 
Huyo Kennedy Otieno simjui ila wimbo huo sio wa Akudo bali ni Single ya Patcho Mwamba pamoja na Tarsis Masela,WOS Kuna jamaa anaitwa Zagreb Butamu sura ya mvuto sauti ya biashara! Duh nampenda sana huyo jamaa anajua kuimba sana.
Asante ndugu yangu...
hUYO zAGREB NYIMBO ZAKE NI ZIPI?Ila mbona sasa hujasema kama wewe ni daraja au mpaka? na kwa vipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom