Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,032
- 759
SIM Card za Internet ya bure zinapatikana, bei ni 70,000/-,
Piga simu 0713 642 851 zipo nyingi tu!
Piga simu 0713 642 851 zipo nyingi tu!
Je hizo ni kwa mda gani?
Mkuu sijaelewa hapo kwenye red....????SIM Card za Internet ya bure zinapatikana, bei ni 70,000/-,
Piga simu 0713 642 851 zipo nyingi tu!
Zina speed gani?
Then ni za mtandao gan?
Kuna mwenzako alishapost kuhusu hizi line za free unlimited internet
ALIKUA AKIZIUZA 20,000 TU...
Hapo napata tatu na mwekundu anabaki
Hiyo elfu 70 mkuu hutoweza kupata mteja humu!Watu wanaziuza kwa elfu 20,kama unabisha search thread humu utazipata!Hii ndio JF,Karibu!
---Believdat---
nmenunua kwa huyo wa 20,000 na sa hivi ni week ya 3 napakua tu ma movies tena nilinunua 2 moja nilimpa rafiki yangu
subiri kitambo tu utakuja na jibu
jamani huyu jamaa ni tapeli anachofanya ni kununua bando la mwezi mmoja kwa gharama ndogo then anakuuzia kwa bei kubwa alafu mkwara wake anakwambia usiulize salio wala kutuma msg huo ni wizi mtupu ni njaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yake tu inamsumbuaaa
Hizi line za tigo toka Kenya zinafanyiwa kazi! Soon zote zitakuwa blocked!