SIM Card (Line) za Internet 100% Working

jamani huyu jamaa ni tapeli anachofanya ni kununua bando la mwezi mmoja kwa gharama ndogo then anakuuzia kwa bei kubwa alafu mkwara wake anakwambia usiulize salio wala kutuma msg huo ni wizi mtupu ni njaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yake tu inamsumbuaaa
Acha ubishi mkuu.Hizi watu wanazitumia since last year!Woga wako ndio umaskini wako!
---Believdat---
 
Mtandao gani nini sasa,mbona mnaleta siasa jamani kwenye biashara?Si mu PM awape details.Nyie sio wateja...NUNUA BUNDLE!
---Believdat---
 
Back
Top Bottom