SIM Card (Line) za Internet 100% Working

Kuna mwenzako alishapost kuhusu hizi line za free unlimited internet
ALIKUA AKIZIUZA 20,000 TU...
Hapo napata tatu na mwekundu anabaki
 
Hiyo elfu 70 mkuu hutoweza kupata mteja humu!Watu wanaziuza kwa elfu 20,kama unabisha search thread humu utazipata!Hii ndio JF,Karibu!
---Believdat---
 
Kuna mwenzako alishapost kuhusu hizi line za free unlimited internet
ALIKUA AKIZIUZA 20,000 TU...
Hapo napata tatu na mwekundu anabaki

Haya Mkuu nenda kwa huyo wa 20,000/- sikuzuii ila hii ni 70,000 kwa kuwa uhakika ni 100%
 
nmenunua kwa huyo wa 20,000 na sa hivi ni week ya 3 napakua tu ma movies tena nilinunua 2 moja nilimpa rafiki yangu
 
Hiyo elfu 70 mkuu hutoweza kupata mteja humu!Watu wanaziuza kwa elfu 20,kama unabisha search thread humu utazipata!Hii ndio JF,Karibu!
---Believdat---

Mkuu sikatai kama hazipo ila wengi ni Matapeli, wanakupa zinazokaa mwezi mmoja tu kisha zinablock hii nimeshatumia kwa miezi 4 sasa na nashusha mizigo kwa kadri ninavyotaka na wote walionunua hakuna aliyelalamika kukosa net.

Hizi line ni untraceable, muhimu tu ni kuchunga usitume msg wala usiulize salio
 
jamani huyu jamaa ni tapeli anachofanya ni kununua bando la mwezi mmoja kwa gharama ndogo then anakuuzia kwa bei kubwa alafu mkwara wake anakwambia usiulize salio wala kutuma msg huo ni wizi mtupu ni njaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yake tu inamsumbuaaa
 
subiri kitambo tu utakuja na jibu

Siwezi kusema eti kaiunga mwezi halafu after mwezi net itakata, kwasababu gharama za kuunga tigo internet unlimited kwa mwezi ni zaidi ya bei anayo uza line 1. Toka nimeinunua nisha download zaid ya 25 Gbs au hata 30 gbs.
 
jamani huyu jamaa ni tapeli anachofanya ni kununua bando la mwezi mmoja kwa gharama ndogo then anakuuzia kwa bei kubwa alafu mkwara wake anakwambia usiulize salio wala kutuma msg huo ni wizi mtupu ni njaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yake tu inamsumbuaaa

Situmii jina bandia hapa kama wewe, Kimokole ni jina halisi hebu tafuta hata kwa google utanipata, siko hapa kuwatapeli wana JF kama wewe ulishatapeliwa. Nimesema usitume msg wala kuuliza salio ili Line iendelee kuwa Invisible basi si zaidi ya hapo. Check ma Avatar explain everything

Halafu sikulazimishi kutumia wala kununua kwa sababu matomaso mko wengi sana, ziko mpaka za 20,000/- nunua tu. Walio serious watafanya uchaguzi sahihi!
 
Hizi ni challenge kwa mitandao ya simu, gharama zao ziko juu sana sasa wamefanya watu watengeneze mianya ya kurudisha angalau kile wanachotuibia
 
Back
Top Bottom