Sikutegemea kama ingetokea siku na mimi nijihisi nimeambukizwa UKIMWI...

1. Mtu haambukizwi ukimwi. Anaambukizwa virusi. Jifunze tofauti ya HIV na AIDS.
2. Ukipima kuna aina tatu za majibu: una virusi, huna au "hali ya isiyotoa hakika ya yoyote kati ya hayo'.Pima zaidi ya mara moja ikiwezekana kwa vipimo tofauti.
3. Acha unyanyapaa wa maneno na vitendo.

BTW: nini lengo la hii post yako?

Whether ni hiv au aids sisi tunachojua ni ukimwi tu...!!! 'N then unyanyapaa au carantine ni nyenzo muhimu sana wayahudi wa zamani za Musa na Haruni waliagizwa kuwanyanyapaa watu wenye UKOMA na kuwatenga nje ya kambi/kijiji au mji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom