Leo nimepekuapekua Video Clips za Hayati Magufuli nikakutana na ile ya Yule Mkaguzi wa Gereza la Butimba aliyechafua Hali ya Hewa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,709
109,145
Alimwambia Hayati Magufuli kuwa anamshukuru yule Mfungwa Albino Kumsemea/ Kumchongea kwake ( akiwa Rais wa JMT) kwani KUMEMUINUA MNO Kiumaarufu na Kiutendaji.

Yaani nimejikuta NACHEKA sana hasa Uso wake ulivyokuwa Mkavu, Sura Ngumu huku akiomba Msamaha kama Mtoto Mdogo zilizokuwa zikisindikizwa na Saluti za mfululizo na Uoga.

Nina uhakika Siku zile baada ya Kuyakanyaga vile kwa Hayati Magufuli lazima tu atakuwa ALIUKWEKA ( alitoa Haja Kubwa) hata kidogo (ya kwa mbali) yaani tuchembe tuwili tutatu fulani hivi.

Hivi bado yuko Gerezani pale? Je, na yule Albino aliyemchongea kwa Hayati Magufuli yuko Hai kweli au nae labda baada ya Mkutano ule nae alitangulizwa haraka Mavumbini Udongoni japo alimwomba Hayati Magufuli amlinde kwa Kuhofia Uhai wake?

Ila Hayati Magufuli pumzika zako kwa Amani kabisa Baba kwani ULININYOOSHEA Wapumbavu, Wezi ( Mafisadi ) na Wanafiki hadi raha na ADABU pamoja na NIDHAMU ya/ za Kiutendaji zilirejea Serikalini, Watanzania TULIHESHIMIANA na hata nchi nayo ILIHESHIMIKA zaidi tofauti na sasa INAVYODHARAULIKA na wenye AKILI KUBWA na WAZALENDO wa Kweli Tanzania na Afrika wakiongozwa nami GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"

Rest In Peace Late John P. Magufuli.
 
Siyo kwamba Alijamba bali alisema ( alimwambia Hayati Magufuli ) kuwa anamshukuru yule Mfungwa Albino Kumsemea / Kumchongea kwake ( akiwa Rais wa JMT ) kwani KUMEMUINUA MNO Kiumaarufu na Kiutendaji.

Yaani nimejikuta NACHEKA sana hasa Uso wake ulivyokuwa Mkavu, Sura Ngumu huku akiomba Msamaha kama Mtoto Mdogo zilizokuwa zikisindikizwa na Saluti za mfululizo na Uoga.

Nina uhakika Siku zile baada ya Kuyakanyaga vile kwa Hayati Magufuli lazima tu atakuwa ALIUKWEKA ( alitoa Haja Kubwa ) hata kidogo ( ya kwa mbali ) yaani tuchembe tuwili tutatu fulani hivi.

Hivi bado yuko Gerezani pale? Je, na yule Albino aliyemchongea kwa Hayati Magufuli yuko Hai kweli au nae labda baada ya Mkutano ule nae alitangulizwa haraka Mavumbini Udongoni japo alimwomba Hayati Magufuli amlinde kwa Kuhofia Uhai wake?

Ila Hayati Magufuli pumzika zako kwa Amani kabisa Baba kwani ULININYOOSHEA Wapumbavu, Wezi ( Mafisadi ) na Wanafiki hadi raha na ADABU pamoja na NIDHAMU ya / za Kiutendaji zilirejea Serikalini, Watanzania TULIHESHIMIANA na hata nchi nayo ILIHESHIMIKA zaidi tofauti na sasa INAVYODHARAULIKA na wenye AKILI KUBWA na WAZALENDO wa Kweli Tanzania na Afrika wakiongozwa nami GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"

Rest In Peace Late John P. Magufuli.
Cc Stuxnet
 
Alimwambia Hayati Magufuli kuwa anamshukuru yule Mfungwa Albino Kumsemea/ Kumchongea kwake ( akiwa Rais wa JMT) kwani KUMEMUINUA MNO Kiumaarufu na Kiutendaji.

Yaani nimejikuta NACHEKA sana hasa Uso wake ulivyokuwa Mkavu, Sura Ngumu huku akiomba Msamaha kama Mtoto Mdogo zilizokuwa zikisindikizwa na Saluti za mfululizo na Uoga.

Nina uhakika Siku zile baada ya Kuyakanyaga vile kwa Hayati Magufuli lazima tu atakuwa ALIUKWEKA ( alitoa Haja Kubwa) hata kidogo (ya kwa mbali) yaani tuchembe tuwili tutatu fulani hivi.

Hivi bado yuko Gerezani pale? Je, na yule Albino aliyemchongea kwa Hayati Magufuli yuko Hai kweli au nae labda baada ya Mkutano ule nae alitangulizwa haraka Mavumbini Udongoni japo alimwomba Hayati Magufuli amlinde kwa Kuhofia Uhai wake?

Ila Hayati Magufuli pumzika zako kwa Amani kabisa Baba kwani ULININYOOSHEA Wapumbavu, Wezi ( Mafisadi ) na Wanafiki hadi raha na ADABU pamoja na NIDHAMU ya/ za Kiutendaji zilirejea Serikalini, Watanzania TULIHESHIMIANA na hata nchi nayo ILIHESHIMIKA zaidi tofauti na sasa INAVYODHARAULIKA na wenye AKILI KUBWA na WAZALENDO wa Kweli Tanzania na Afrika wakiongozwa nami GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"

Rest In Peace Late John P. Magufuli.
Mfuate mshamba mwenzio we bwege
 
Nani aliyekuambia Mafisadi wanaisha wote kabisa? Nemsifu Hayati Magufuli kwakuwa angalau aliweza Kupambana nao na kuonyesha Uthubutu tofauti na Aliyeko sasa au yule Mfalme Fisadi wa 2005-2015.
Huyo mfu wako mwenyewe alikuwa baba la mafisadi, ila aliweza kuwapumbaza mabwege km wewe
 
Nani aliyekuambia Mafisadi wanaisha wote kabisa? Nemsifu Hayati Magufuli kwakuwa angalau aliweza Kupambana nao na kuonyesha Uthubutu tofauti na Aliyeko sasa au yule Mfalme Fisadi wa 2005-2015.
Eanaompenda Magufuli ni makundi makubwa ya wajinga ambao ndiyo wengi Tanzania. Unaongelea vyeti feki wakati yeye mwenyewe Magufuli alikuwa na PhD feki. Unaongelea ufisadi wakati yeye Magufuli amekufa bila kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya Tsh 2.4 Trillion zilizohojiwa na CAG Prof Assad
 
Alimwambia Hayati Magufuli kuwa anamshukuru yule Mfungwa Albino Kumsemea/ Kumchongea kwake ( akiwa Rais wa JMT) kwani KUMEMUINUA MNO Kiumaarufu na Kiutendaji.

Yaani nimejikuta NACHEKA sana hasa Uso wake ulivyokuwa Mkavu, Sura Ngumu huku akiomba Msamaha kama Mtoto Mdogo zilizokuwa zikisindikizwa na Saluti za mfululizo na Uoga.

Nina uhakika Siku zile baada ya Kuyakanyaga vile kwa Hayati Magufuli lazima tu atakuwa ALIUKWEKA ( alitoa Haja Kubwa) hata kidogo (ya kwa mbali) yaani tuchembe tuwili tutatu fulani hivi.

Hivi bado yuko Gerezani pale? Je, na yule Albino aliyemchongea kwa Hayati Magufuli yuko Hai kweli au nae labda baada ya Mkutano ule nae alitangulizwa haraka Mavumbini Udongoni japo alimwomba Hayati Magufuli amlinde kwa Kuhofia Uhai wake?

Ila Hayati Magufuli pumzika zako kwa Amani kabisa Baba kwani ULININYOOSHEA Wapumbavu, Wezi ( Mafisadi ) na Wanafiki hadi raha na ADABU pamoja na NIDHAMU ya/ za Kiutendaji zilirejea Serikalini, Watanzania TULIHESHIMIANA na hata nchi nayo ILIHESHIMIKA zaidi tofauti na sasa INAVYODHARAULIKA na wenye AKILI KUBWA na WAZALENDO wa Kweli Tanzania na Afrika wakiongozwa nami GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"

Rest In Peace Late John P. Magufuli.
Huyu mbwa hawezi kupumzika kwa amani kamwe . Magufuli alinajisi Ikulu yetu kwa kumwaga damu za wasio na hatia, kunyang'anya fedha za wafanya biashara, kuiba fedha za umma (Tsh 1 5 Trillion as per CAG report) na kuiba uchaguzi wote wa S/Mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020.

Ataendelea kuungua na moto wa jehanam milele
 
Back
Top Bottom